-
Mwanaharakati wa haki za wanawake aliyeko jela Saudia atunukiwa Tuzo ya Uhuru 2020
Jun 14, 2020 02:45Mwanaharakati wa haki za wanawake wa Saudi Arabia aliyeshikiliwa jela, Loujain al-Hathloul ametunukiwa Tuzo ya Uhuru 2020 (Freedom Prize 2020) kufuatia kuongozeka hujuma na ukandamizaji mkubwa unaofanywa na mrithi wa ufalme wa Saudia Mohammed bin Salman dhidi ya wanaharakati wa haki za binadamu na wasomi nchini humo.
-
Makaburi ya umati yenye maiti 6000 yagunduliwa Burundi
Feb 16, 2020 06:55Kamisheni ya Ukweli na Maridhiano ya Burundi imetangaza habari ya kugundua makaburi sita ya umati yenye maiti elfu sita katika mkoa wa Karusi, mashariki mwa nchi.
-
UNFPA yataka dhuluma dhidi ya wanawake katika jamii zikomeshwe
Nov 14, 2019 14:28Mmoja kati ya wanawake watatu duniani hukumbana na dhuluma za kijinsia kutoka kwa wapenzi au waume zao.
-
HRW: Ukandamizaji Saudia umefika hatua mpya chini ya Bin Salman
Nov 05, 2019 07:20Shirika la Kutetea Haki za Binaadamu la Human Rights Watch limesema dhulma, mateso na ukandamizaji umeongezeka na kufikia kiwango kipya cha kutisha nchini Saudi Arabia, tangu Mohammad Bin Salman atangazwe kuwa Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa nchi hiyo.
-
Ripoti ya Bunge la Iran kuhusu ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu Marekani
Jun 10, 2019 11:22Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni katika Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, imechapisha ripoti ya ukiukwaji mkubwa wa haki za binadamu nchini Marekani.
-
HRW yataka kukamatwa walioshambuliwa wahamiaji nchini Afrika Kusini
Apr 16, 2019 14:17Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito wa kufunguliwa mashitaka watu waliohusika na mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya raia wa kigeni nchini Afrika Kusini.
-
Amnesty yasema Bahrain inatumia mashindano ya magari kujikosha
Mar 29, 2019 04:37Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limesema Bahrain inaendelea kutumia mashindano ya magari ya Langalanga maarufu kama Formula 1 kwa ajili ya kujikosha.
-
Hofu ya Amnesty International baada ya Misri kupewa uenyekiti wa AU
Feb 09, 2019 07:56Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limeeleza wasi wasi wake baada ya Misri kuteuliwa kuwa mwenyekiti wa kiduru wa Umoja wa Afrika kwa mwaka huu 2019, likisisitiza kuwa ukandamizaji wa haki za binadamu umefikia katika upeo wa juu kabisa katika kipindi cha utawala wa Rais wa sasa wa nchi hiyo, Abdul Fattah al Sisi.
-
Guardian: Saudia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani
Jan 06, 2019 02:36Gazeti la Uingereza la The Guardian limeripoti kuwa Saudi Arabia ndiyo yenye rekodi mbaya zaidi ya haki za binadamu duniani.
-
HRW yataka kushtakiwa askari wanaowakandamiza Waislamu Nigeria
Dec 12, 2018 12:40Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limetoa mwito wa kufunguliwa mashitaka wanajeshi wa Nigeria wanaowakandamiza Waislamu wa madhehebu ya Shia.