Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • John Bolton aingilia tena masuala ya ndani ya Venezuela

    John Bolton aingilia tena masuala ya ndani ya Venezuela

    Aug 06, 2019 20:49

    Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa Washington inapinga kufanyika uchaguzi mpya nchini Venezuela madhali Rais wa sasa wa nchi hiyo ataendelea kusalia madarakani.

  • Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela

    Tuhuma za Marekani dhidi ya Russia kwa kuisaidia Venezuela

    Jul 23, 2019 03:03

    Katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani, siasa za upande mmoja za Washington dhidi ya nchi tofauti zinazopinga ubeberu na kupenda makubwa kwa Marekani, ikiwemo Venezuela , zimebadilika kuwa moja ya tofauti za msingi kati ya serikali ya Moscow na Washington.

  • Jumuiya ya NAM yasisitiza kuheshimiwa mitazamo ya pande kadhaa na sheria za kimataifa

    Jumuiya ya NAM yasisitiza kuheshimiwa mitazamo ya pande kadhaa na sheria za kimataifa

    Jul 22, 2019 01:25

    Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, wamekutana huko Caracas, mji mkuu wa Venezuela na kusisitiza umuhimu wa kuzingatiwa mitazamo ya pande kadhaa na kueshimiwa sheria za kimataifa.

  • Kuendelea mazungumzo ya serikali ya Venezuela na wapinzani licha ya vitisho vya Wamagharibi

    Kuendelea mazungumzo ya serikali ya Venezuela na wapinzani licha ya vitisho vya Wamagharibi

    Jul 21, 2019 03:19

    Mashinikizo na vitisho vya Marekani na nchi za Ulaya dhidi ya Venezuela, vimeongezeka huku mazungumzo ya kutafuta njia ya kuiodoa nchi hiyo kwenye mgogoro wa kisiasa yakiwa yanaendelea kati ya serikali na wapinzani.

  • Bajeti mpya ya serikali ya Marekani kwa wapinzani wa serikali ya Venezuela

    Bajeti mpya ya serikali ya Marekani kwa wapinzani wa serikali ya Venezuela

    Jul 17, 2019 21:52

    Serikali ya Marekani imepanga kuwapatia wapinzani wa serikali nchini Venezuela bajeti ya zaidi ya dola milioni 40 kwa ajili ya kuendeshea harakati zao.

  • Sisitizo la wapinzani wa Venezuela la kuendelea kushiriki katika mazungumzo na serikali ya Caracas

    Sisitizo la wapinzani wa Venezuela la kuendelea kushiriki katika mazungumzo na serikali ya Caracas

    Jul 16, 2019 22:00

    Baada ya duru tatu za mazungumzo baina ya serikali ya Venezuela na wapinzani yenye lengo la kufikia utatuzi wa pamoja na kuikwamua nchi hiyo katika kinamasi cha mgogoro wa kisiasa, wapinzani wa nchi hiyo wamethibitisha kwamba, wataendelea kushiriki katika mazungumzo na wawakilishi wa serikali huko nchini Barbados katika Bahari ya Caribbean.

  • Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Baraza la Haki za Binadamu la Umoja wa Mataifa lalaani vikwazo vya Marekani dhidi ya nchi mbalimbali

    Jul 16, 2019 03:37

    Marekani imekuwa ikitumia fimbo vya vikwazo dhidi ya nchi mbalimbali duniani kwa ajili ya kufikia malengo yake ya kijuba na kimabavu.

  • Sisitizo la Rais Maduro la uwezekano wa kufikiwa makubaliano na wapinzani kwa sharti Marekani iache kuingilia mambo ya Venezuela

    Sisitizo la Rais Maduro la uwezekano wa kufikiwa makubaliano na wapinzani kwa sharti Marekani iache kuingilia mambo ya Venezuela

    Jul 10, 2019 03:20

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa wa Venezuela na kushindwa wapinzani kuiangusha serikali ya Rais Nicolas Maduro kumemfanya Juan Guaido, kiongozi wa upinzani nchini humo akubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kufanyika mazungumzo baina ya wapinzani na wawakilishi wa serikali ya Caracas.

  • Sisitizo la kuendeleza mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Sisitizo la kuendeleza mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Jul 06, 2019 21:52

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametilia mkozo azma ya serikali yake ya kuendeleza mazungumzo na wapinzani chini ya uwenyeji wa Norway.

  • Rais wa Venezuela asisitiza kuunga mkono mazungumzo na wapinzani

    Rais wa Venezuela asisitiza kuunga mkono mazungumzo na wapinzani

    Jul 06, 2019 03:46

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesisitiza kuwa, serikali yake inaunga mkono na kuheshimu mchakato wa kuendelezwa mazungumzo na wapinzani wake kwa usimamizi wa Norway.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS