Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Kurejea balozi wa Ujerumani nchini Venezuela, dalili nyingine ya kuimarika serikali ya Nicolás Maduro

    Kurejea balozi wa Ujerumani nchini Venezuela, dalili nyingine ya kuimarika serikali ya Nicolás Maduro

    Jul 03, 2019 22:14

    Sambamba na kurejea uthabiti wa kiwango fulani nchini Venezuela na kuimarika nafasi ya serikali ya Rais Nicolás Maduro, sasa nchi mbalimbali zinakusudia kuboresha uhusiano wao na serikali ya Caracas.

  • Mazungumzo baina ya serikali na wapinzani nchini Venezuela kuanza karibuni hivi

    Mazungumzo baina ya serikali na wapinzani nchini Venezuela kuanza karibuni hivi

    Jun 30, 2019 21:01

    Mazungumzo baina ya wawakilishi wa serikali na wapinzani nchini Venezuela yanatarajiwa kuanza hivi karibuni lengo likiwa ni kufanya juhudi za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.

  • Raia wa Venezuela wamzomea Juan Guaidó, alazimika kufuta hotuba yake

    Raia wa Venezuela wamzomea Juan Guaidó, alazimika kufuta hotuba yake

    Jun 30, 2019 00:14

    Raia wa Venezuela wamemlazimisha Juan Guaidó kiongozi wa upinzani afutilie mbali hotuba yake baada ya kumzomea na kuonyesha upinzani dhidi yake.

  • Kuendelea juhudi za utatuzi wa mgogoro wa Venezuela

    Kuendelea juhudi za utatuzi wa mgogoro wa Venezuela

    Jun 16, 2019 05:59

    Baada ya wapinzani wa Rais Nicolás Maduro wa Venezuela kufeli katika njama zao na kisha nchi hiyo kukumbwa na mkwamo wa kisiasa, kumeanza juhudi za kimataifa za kuondoa mkwamo huo.

  • Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Ukwamishaji mambo wa Juan Guaidó kuhusu mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Jun 09, 2019 08:05

    Kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kadhalika kushindwa wapinzani wa nchi hiyo kumng'oa madarakani Rais Nicolás Maduro, kumepelekea Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani kukubali pendekezo la upatanishi wa Norway na kuanza mazungumzo ya wawakilishi wa serikali na wapinzani huko mjini Oslo.

  • Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Viongozi wa Venezuela, Cuba wajadili njia za kukabiliana na Marekani

    Jun 08, 2019 07:21

    Makamo wa Rais wa chama tawala cha Venezuela Diosdado Cabello amekutana na kiongozi wa Chama cha Kikomunisti cha Cuba, Raul Castro kwa lengo la kujadili njia za kukabiliana na uhasama wa Marekani dhidi ya nchi zao.

  • Maduro aliamuru Jeshi la Venezuela kuwa tayari kukabiliana na askari vamizi wa Marekani

    Maduro aliamuru Jeshi la Venezuela kuwa tayari kukabiliana na askari vamizi wa Marekani

    May 23, 2019 06:38

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliamuru jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kukabiliana na hujuma tarajiwa ya Marekani. Aidha ametoa amri kwa makachero jeshini kuwasaka na kuwatia mbaroni askari wasaliti katika jeshi.

  • Jeshi la Venezuela lasema liko tayari kukabiliana na Marekani

    Jeshi la Venezuela lasema liko tayari kukabiliana na Marekani

    May 19, 2019 03:25

    Jeshi la Venezuela limetangaza utiifu kamili kwa serikali ya Rais Nicholas Maduro wa nchi hiyo na kusema liko na silaha mkononi tayari kukabiliana na hujuma yoyote ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.

  • Ubunifu mpya wa kisiasa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Venezuela

    Ubunifu mpya wa kisiasa kwa ajili ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Venezuela

    May 18, 2019 20:49

    Sambamba na kuendelea mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela na kushindwa harakati za wapinzani na serikali ya Marekani za kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro, harakati mpya za kimataifa za kuutatua mgogoro huo zimeshika kasi.

  • Venezuela yaweka kando matumizi ya sarafu ya dola

    Venezuela yaweka kando matumizi ya sarafu ya dola

    May 09, 2019 23:27

    Rais wa Venezuela ametangaza kuwa nchi hiyo inaweka kando matumizi ya sarafu ya dola ya Marekani kwa sababu haitaki kutegemea mfumo wa fedha wa nchi ajinabi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS