Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru

    Iran yailaani Marekani kwa kutumia njia zilizo kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru

    May 09, 2019 07:59

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uhasama wa Marekani dhidi ya Cuba hasa wa kuondoa marufuku ya muda ya utekelezwaji wa Kipengee cha Tatu cha Sheria Helms-Burton na kusema: "Kwa hatua yake hiyo, Washington kwa mara nyingine imeonyesha kuwa, inatumia kila wenzo ulio kinyume cha sheria kuzishinikiza nchi huru."

  • Maduro aagiza kusimamiwa viwanja vya ndege katika mji mkuu wa Venezuela

    Maduro aagiza kusimamiwa viwanja vya ndege katika mji mkuu wa Venezuela

    May 08, 2019 07:44

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela amesema kuwa serikali ya nchi hiyo itasimamia viwanja vitatu vya ndege vilivyopo katika mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia agizo la Rais wa nchi hiyo.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela: Inatupasa kujifunza kutoka Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela: Inatupasa kujifunza kutoka Iran

    May 07, 2019 20:54

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela sambamba na kusisitiza umuhimu wa kupanua ushirikiano katika uga wa kijeshi na nishati kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, amesema kuwa Caracas inapaswa kujifundisha masomo mengi kutoka Iran.

  • Mogherini asisitiza ulazimia wa kutatuliwa kwa njia ya amani mgogoro wa Venezuela

    Mogherini asisitiza ulazimia wa kutatuliwa kwa njia ya amani mgogoro wa Venezuela

    May 07, 2019 08:55

    Mkuu wa Siasa za Nje wa Umoja wa Ulaya ameashiria matukio ya Venezuela na kusisitiza kuwa njia ya ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo inapasa kuwa ya kiraia na kutoka ndani ya nchi hiyo yenyewe kikamilifu.

  • Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela

    Onyo kali la Moscow dhidi ya uingiliaji wa kijeshi wa Washington nchini Venezuela

    May 03, 2019 03:08

    Katika kipindi hiki cha uongozi wa Rais Donald Trump wa Marekani, nchi hiyo imeongeza maradifu juhudi zake za kutaka kuiangusha serikali halali ya mrengo wa kushoto ya Venezuela inayoongozwa na Rais Nicolas Maduro.

  • Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela

    Iran yalaani jaribio la Marekani la kutaka kuipindua serikali ya Venezuela

    May 02, 2019 23:27

    Iran imelaani jaribio la hivi karibuni la Marekani la kutaka kuipindua serikali halali ya Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.

  • Russia yalaani uingiliaji haribifu wa Marekani nchini Venezuela

    Russia yalaani uingiliaji haribifu wa Marekani nchini Venezuela

    May 02, 2019 02:04

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia Sergei Lavrov amelaani vikali uungaji mkono haribifu wa Marekani kwa kinara wa upinzani nchini Venezuela Juan Guaido ambaye alikuwa amedai amepata uungaji mkono wa jeshi katika jaribio lililofeli la kumpindua Rais Nicolas Maduro.

  • Kushindwa tena mapinduzi ya Marekani nchini Venezuela

    Kushindwa tena mapinduzi ya Marekani nchini Venezuela

    May 01, 2019 07:44

    Jana Jumanne Caracas, mji mkuu wa Venezuela ulipitia siku ngumu na iliyojaa mitihani. Kwa mara nyingine Marekani na vibaraka wake wa ndani wanaoongozwa na Juan Guaido na ambao wanaendesha vurugu na upinzani dhidi ya serikali halali ya nchi hiyo walifanya jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali ya mrengo wa kushoto inayoongozwa na Nicolas Maduro, kwa kushirikiana na baadhi ya wanajeshi, lakini kwa mara nyingine tena Marekani ikawa imeshindwa katika jaribio lake hilo la mapinduzi nchini Venezuela.

  • Maduro alipongeza jeshi la Venezuela kwa kuzima jaribio la mapinduzi

    Maduro alipongeza jeshi la Venezuela kwa kuzima jaribio la mapinduzi

    May 01, 2019 02:57

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amelipongeza jeshi la nchi hiyo kwa kuzima jaribio la mapinduzi dhidi ya serikali yake, harakati ambazo anasema zinaungwa mkono na Marekani.

  • Mwendelezo wa Marekani wa kutaka kupora vyanzo vya utajiri wa Venezuela

    Mwendelezo wa Marekani wa kutaka kupora vyanzo vya utajiri wa Venezuela

    Apr 28, 2019 23:38

    Marekani bado inaendelea kufanya njama za kupanua wigo wa vikwazo na mashinikizo yake dhidi ya Venezuela kwa lengo la kumshinikiza Rais Nicolás Maduro aondoke madarakani nchini humo ili iweze kupenya na kupora utajiri wa taifa hilo la Amerika ya Latini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS