Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo

    Marekani yazidisha mashinikizo dhidi ya Venezuela kwa kuiwekea vikwazo Benki Kuu ya nchi hiyo

    Apr 19, 2019 03:18

    Ikiwa ni katika kuzidisha mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela, John Bolton, Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani amesema kuwa nchi hiyo imeiweka Benki Kuu ya Venezuela katika orodha ya vikwazo ya Washington.

  • Waziri wa Ulinzi Venezuela: Umoja wa jeshi, wananchi na serikali utaishinda Marekani

    Waziri wa Ulinzi Venezuela: Umoja wa jeshi, wananchi na serikali utaishinda Marekani

    Apr 15, 2019 08:36

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López na katika kuzuia kushtadi mashinikizo na uingiliaji wa Marekani dhidi ya serikali ya Rais Nicolás Maduro, ametaka kushadidishwa umoja wa wananchi, jeshi na serikali kwa ajili ya kukabiliana na mashinikizo hayo.

  • Uungaji mkono wa jeshi la Venezuela kwa mpango wa Rais Maduro wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo

    Uungaji mkono wa jeshi la Venezuela kwa mpango wa Rais Maduro wa kufanyika mazungumzo ya kitaifa nchini humo

    Apr 10, 2019 10:06

    Mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela uliibuka tangu tarehe 10 Januari mwaka huu, wakati Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo aliposhinda kwa kuchaguliwa kwa mara ya pili na kuapishwa kuwa rais wa taifa hilo la Amerika ya Latini, katika uchaguzi ambao ulisusiwa na wapinzani.

  • Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Kuchukua wigo wa kimataifa mgogoro wa kisiasa wa Venezuela

    Apr 07, 2019 02:33

    Mgogoro wa kisiasa wa sasa nchini Venezuela ulianza 10 Januari mwaka huu wakati Rais Nicolas Maduro alipoapishwa baada ya kushinda katika uchaguzi wa Rais uliosusiwa na wapinzani na hivyo kuchukua usukani wa kuiongoza nchi hiyo katika duru ya pili.

  • Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Kushadidi mashinikizo ya Marekani dhidi ya Venezuela na kukabiliana na Russia na China

    Apr 05, 2019 01:55

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donald Trump, Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro aliyechaguliwa kihalali na kwa njia ya demokrasia.

  • Wamarekani waandamana kupinga kushambuliwa kijeshi Venezuela

    Wamarekani waandamana kupinga kushambuliwa kijeshi Venezuela

    Mar 31, 2019 03:11

    Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano mjini Washington DC kupinga uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi wa nchi hiyo dhidi ya Venezuela.

  • Radiamali ya Caracas dhidi ya vitisho vya Marekani kuhusiana na uwepo wa Russia nchini Venezuela

    Radiamali ya Caracas dhidi ya vitisho vya Marekani kuhusiana na uwepo wa Russia nchini Venezuela

    Mar 30, 2019 21:57

    Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.

  • Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amkejeli Bolton kwa kumshinikiza ajiuzulu

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amkejeli Bolton kwa kumshinikiza ajiuzulu

    Mar 30, 2019 03:22

    Waziri wa Ulinzi wa Venezuela amemjibu Mshauri wa Rais katika Usalama wa Taifa wa Marekani, John Bolton aliyemtaka waziri huyo ajiuzulu.

  • Jibu la Moscow kwa vitisho vya Marekani dhidi ya uhusiano wa Russia na Venezuela

    Jibu la Moscow kwa vitisho vya Marekani dhidi ya uhusiano wa Russia na Venezuela

    Mar 28, 2019 06:57

    Marekani ingali inaendeleza sera zake kuhusu Venezuela zinazolenga kuipindua serikali na kumwondoa madarakani rais wa nchi hiyo Nicolas Maduro anayefuata siasa za mrengo wa kushoto.

  • Mikwaruzano inazidi kushadidi kati ya Marekani na Russia kuhusiana na Venezuela

    Mikwaruzano inazidi kushadidi kati ya Marekani na Russia kuhusiana na Venezuela

    Mar 26, 2019 02:24

    Kauli za tuhuma na uafriti wa Marekani dhidi ya Russia na Venezuela vimezidi kupamba moto kufuatia hatua ya Moscow kutuma shehena ya misaada nchini Venezuela.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS