-
Sisitizo la Rais Maduro kuwa Marekani inahusika na ugaidi na uharibifu nchini Venezuela
Mar 25, 2019 22:35Rais Donald Trump wa Marekani katika chote cha utawala wake amekuwa akifuatilia sera za kuiangusha serikali halali ya Rais Nicolas Maduro nchini Venezuela kutokana na kuwa rais huyo anafuata sera za mrengo wa kushoto za kupinga ubeberu na ubepari wa Marekani na Wamagharibi.
-
Ndege za Russia zilizobeba shehena ya misaada zatua Venezuela zikiwa na maafisa wa kijeshi
Mar 25, 2019 03:20Ndege mbili za Russia zilizobeba tani elfu 35 za misaada zimetua mjini Caracas, mji mkuu wa Venezuela.
-
Venezuela: Mustakbali wa Trump na Pence upo hatarini
Mar 23, 2019 09:39Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesisitizia umuhimu wa kuondolewa madarakani Rais Donald Trump wa Marekani na Mike Pence, Makamu wake wa Rais.
-
Indhari mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela; njama ya Washington ya kushadidisha mashinikizo dhidi ya Rais Maduro
Mar 23, 2019 03:16Katika miaka mitatu ya hivi karibuni, serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake huko Venezuela, imechukua hatua zenye lengo la kuiangusha serikali ya mrengo wa kushoto ya Rais Nicolas Maduro.
-
Venezuela: Tutatumia nguvu kali kukabiliana na vitisho vipya vya kijeshi vilivyotolewa na Trump
Mar 20, 2019 12:57Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela ametoa radiamali kali juu ya vitisho vipya vya kijeshi vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi yake na kusisitiza kwamba, Caracas inapinga vikali matamshi hayo hatari ya Trump.
-
Russia: Marekani isijaribu kuingilia kijeshi Venezuela, tutahakikisha tunalinda maslahi yetu
Mar 20, 2019 12:43Serikali ya Russia imeionya vikali Marekani isijaribu kufanya uingiliaji wa aina yoyote wa kijeshi nchini Venezuela na kusisitiza kwamba Moscow italinda maslahi yake nchini humo.
-
Hatua mpya ya Rais Maduro kufanya mabadiliko katika serikali ya Venezuela
Mar 19, 2019 04:39Wakati mgogoro wa kisiasa nchini Venezuela ukiwa unaendelea hasa "Vita vya Umeme" na huku kinara wa upinzani Juan Guaido hakiwa ameshahidisha uchochezi wake baada ya kujitangaza kuwa rais kwa lengo la kuidhoofisha serikalii halali, Rais Nicholas Maduro ambeye ni rais halali wa nchi hiyuo imechukua hatua za kuleta uthabiti na kuimarisha serikali ya nchi hiyo.
-
Mamia ya Wamarekani waandamana mbele ya White House kumtetea Maduro
Mar 17, 2019 13:35Mamia ya wananchi wa Marekani wamefanya maandamano mbele ya Ikulu ya Rais wa nchi hiyo, White House na kutangaza uungaji mkono wao kwa Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro.
-
Cuba: Miamala ya Marekani dhidi ya Venezuela imetoka kwa Manazi
Mar 14, 2019 11:00Rais Miguel Díaz-Canel wa Cuba amekosoa vikali uingiliaji wa kivamizi wa Marekani nchini Venezuela na kusema kuwa, vitendo hivyo vimetoka kwa Manazi wa Ujerumani.
-
Russia yaionya Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika yake nchini Venezuela
Mar 13, 2019 23:00Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia imetoa onyo kwa Marekani isijaribu kuyawekea vikwazo mashirika ya nchi hiyo yanayofanya kazi nchini Venezuela.