-
EU yaionya Marekani isithubutu kuivamia kijeshi Venezuela
Mar 13, 2019 04:27Umoja wa Ulaya umeionya Marekani kuhusu hatari ya chokochoko zake za kutaka kuivamia kijeshi Venezuela.
-
Kuendelea hatua za mapinduzi za Marekani dhidi ya Venezuela
Mar 10, 2019 04:03Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela ungali unaendelea na katika hatua ya hivi karibuni kabisa, Washington imetishia kuziwekea vikwazo benki ambazo zinashirikiana na serikali ya Caracas.
-
Kufichuliwa na Maduro lengo halisi la Marekani la kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela
Mar 09, 2019 00:50Wakati mgogoro wa kisiasa ukiwa unaendelea nchini Venezuela sambamba na kuongezeka harakati za Juan Guaido, kiongozi wa wapinzani aliyejitangaza rais, za kushadidisha mgogoro huo, njama na hatua za serikali ya Marekani za kutaka kubadilisha hali ya mambo katika nchi hiyo ya Amerika ya Latini, nazo pia zimezidi kupamba moto.
-
Venezuela yamtimua balozi wa Ujerumani kwa hatua yake ya kumuunga mkono Juan Guaidó
Mar 07, 2019 00:38Wizara ya Mambo ya Nje ya Venezuela imemtimua balozi wa Ujerumani nchini humo kutokana na hatua yake ya kumuunga mkono Juan Guaidó, mpinzani wa serikali aliyejitangaza kuwa rais, badala ya serikali halali ya Caracas.
-
Lavrov: Matamshi ya Bolton dhidi ya Venezuela ni ya udhalilishaji
Mar 04, 2019 23:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia ameyataja matamshi yaliyotolewa na Mshauri wa Usalama wa Taifa wa Marekani dhidi ya Venezuela kuwa ni udhalilishaji kwa Amerika ya Latini.
-
Kiongozi wa upinzani Venezuela anakabiliwa na kifungo cha miaka 30 jela
Feb 27, 2019 04:34Juan Guaidó, kiongozi wa upinzani aliyejitangaza kuwa rais wa mpito wa Venezuela anaandamwa na kifungo cha miaka 30 jela.
-
Rais Maduro: Marekani sasa inafanya njama za kuanzisha vita Venezuela
Feb 27, 2019 01:15Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amesema kuwa hivi sasa serikali ya Marekani inafanya njama za kuwasha moto wa vita katika eneo la Amerika ya Latini hususan nchini Venezuela.
-
Tishio la kijeshi; kuendelea hatua zilizogonga mwamba za Marekani dhidi ya Venezuela
Feb 26, 2019 23:13Sambamba na kuongezeka harakati za kijeshi za Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo ameituhumu Washington kwamba, inafanya njama za kuzusha mgogoro kwa shabaha ya kuanzisha vita katika eneo la Amerika ya Latini.
-
Amir-Abdollahian: Marekani inataka kuzusha machafuko nchini Venezuela
Feb 25, 2019 23:07Msaidizi maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amelaani hatua ya Marekani ya kuingilia masuala ya ndani ya Venezuela na kusema kuwa, Washington inataka kuiondoa madarakani serikali halali na kuitumbukiza nchi hiyo katika vurugu na machafuko.
-
Marekani yadai siku za Maduro kuwa madarakani Venezuela zinahesabika
Feb 25, 2019 00:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani ameonya kuwa, Washington itaendelea kuisakama na kuishinikiza serikali ya Venezuela hadi ifahamu kuwa siku zake za kutawala zinahesabika.