-
China na Russia zatumia kura ya Veto kupinga hatua zozote za Marekani dhidi ya Venezuela
Jan 26, 2019 12:53China na Russia zimezuia muswada uliowasilishwa na Marekani dhidi ya Venezuela katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Harakati ya Vizibao vya Njano nchini Ufaransa yakosoa vikali matamshi ya Rais Macron kuhusu Venezuela
Jan 26, 2019 10:42Harakati inayopinga mfumo wa kibepari nchini Ufaransa inayoitwa 'Harakati ya Vizibao vya Njano' imekosoa matamshi ya Rais Emmanuel Macron wa nchi hiyo kuhusiana na Venezuela.
-
Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani
Jan 26, 2019 01:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela, amesema Iran inaliunga mkono taifa hilo la Amerika ya Latini na itasimama nalo dhidi njama ya mapinduzi inayopikwa na Marekani.
-
Papa Francis awaunga mkono raia wa Venezuela
Jan 25, 2019 04:41Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amewataka walimwengu kuwaepushia matatizo zaidi raia wa Venezuela.
-
Waziri wa Ulinzi Venezuela: Marekani ndio inapanga mapinduzi ya kijeshi dhidi ya Rais Maduro
Jan 25, 2019 01:06Waziri wa Ulinzi wa Venezuela, Vladimir Padrino López amesema kuwa, Marekani na washirika wa White House ndio wanatekeleza mapinduzi ya kijeshi na vita vya kiuchumi dhidi ya nchi hiyo.
-
Venezuela yaikosoa Ufaransa kwa kupanga njama za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali
Oct 01, 2018 04:35Serikali ya Venezuela imekosoa njama za Ufaransa za kutaka kufanya mabadiliko ya serikali ya Caracas na kadhalika uingiliaji wa Paris katika masuala ya ndani ya nchi hiyo.
-
Uturuki yaitaka Venezuela kufanya biashara kwa kutumia sarafu za ndani
Sep 23, 2018 23:27Uturuki imeialika Venezuela kutumia sarafu za nchi zao badala ya dola katika miamala ya kibiashara ya pande mbili; ikiwa ni katika kampeni ya kuimarisha uchumi wa nchi hizo kukabiliana na mashinikizo ya serikali ya rais wa Marekani, Donald Trump.
-
Njama za kuingilia kijeshi masuala ya ndani ya Venezuela
Sep 16, 2018 06:34Luis Almagro, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Nchi za Amerika ametoa matamshi ya vitisho dhidi ya Venezuela na kusema kuwa, chaguo la kijeshi kwa ajili ya kuiondoa madarakani serikali ya Rais Nicolás Maduro wa Venezuela halipasi kupuuzwa.
-
New York Times: Trump alipanga njama ya mapinduzi dhidi ya Rais wa Venezuela
Sep 09, 2018 11:42Gazeti la New York Times la Marekani imefichua kwamba, serikali ya Rais Donald Trump wa nchi hiyo mwaka jana ilifanya kikao cha siri na majenerali walioasi jeshi la Venezuela kujadili mipango ya kufanya mapinduzi na kumuondoa madarakani Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo.
-
Venezuela: Faili la kutaka kumuu Rais Maduro litashughulikiwa kimataifa
Aug 10, 2018 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema kuwa, serikali ya nchi hiyo inakusudia kuliwasilisha faili la jaribio la kutaka kumuu Rais Nicolás Maduro wa nchi hiyo katika ngazi ya kimataifa.