Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Magaidi 6 watiwa mbaroni kwa kujaribu kumuua rais wa Venezuela

    Magaidi 6 watiwa mbaroni kwa kujaribu kumuua rais wa Venezuela

    Aug 06, 2018 03:34

    Waziri wa Mambo ya Ndani wa Venezuela jana usiku alitoa tamko na kutangaza habari ya kutiwa mbaroni magaidi 6 waliohusika na jaribio lililoshindwa la kutaka kumuu Rais Nicolas Maduro wa nchi hiyo.

  • Iran yalaani jaribio la kutaka kumuua Rais wa Venezuela + Video

    Iran yalaani jaribio la kutaka kumuua Rais wa Venezuela + Video

    Aug 05, 2018 11:12

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali jaribio la kutaka kumuua rais wa Venezeula Nicolas Maduro.

  • Jumanne tarehe 24 Julai 2018

    Jumanne tarehe 24 Julai 2018

    Jul 23, 2018 22:57

    Leo ni Jumanne tarehe 10 Dhulqaada 1439 Hijria sawa na Julai 24, 2018.

  • Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela

    Russia: Kuna uwekezano Marekani ikaishambulia kijeshi Venezuela

    Jul 19, 2018 03:22

    Balozi wa Russia nchini Venezuela ameonyesha masikitiko yake kutokana na uwezekano wa Marekani kuchukua hatua ya kijeshi dhidi ya nchi hiyo.

  • Rais Maduro alitaka jeshi la Venezuela kujiweka tayari kukabiliana na njama za Donald Trump

    Rais Maduro alitaka jeshi la Venezuela kujiweka tayari kukabiliana na njama za Donald Trump

    Jul 06, 2018 03:06

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amelitaka jeshi la nchi hiyo kujiweka tayari kwa ajili ya kukabiliana na njama zinazofanywa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya nchi hiyo.

  • Alkhamisi tarehe 5 Julai 2018

    Alkhamisi tarehe 5 Julai 2018

    Jul 04, 2018 22:12

    Leo ni Alkhamisi tarehe 21 Shawwal 1439 Hijria sawa na 5 Julai 2018.

  • India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran

    India: Hatutafuata agizo la Marekani la kuiwekea vikwazo Iran

    May 29, 2018 03:12

    Waziri wa Mambo ya Nje wa India amesema kuwa, nchi yake haitofuata maagizo ya Marekani ya kuiwekea vikwazo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Venezuela yawatimua wanadiplomasia wa Marekani

    Venezuela yawatimua wanadiplomasia wa Marekani

    May 23, 2018 02:51

    Venezuela imewafukuza nchini wanadiplomasia wawili wa ngazi za juu wa Marekani, ikiwa ni radiamali ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini ya kujibu uhasama mpya wa Washington wa kushadidisha vikwazo dhidi yake.

  • Kikao cha viongozi wa nchi za Amerika mjini Lima na njama za Washington dhidi ya Venezuela

    Kikao cha viongozi wa nchi za Amerika mjini Lima na njama za Washington dhidi ya Venezuela

    Apr 15, 2018 08:58

    Katika kikao cha viongozi wa nchi za Amerika kilichofanyika mjini Lima nchini Peru, Michael Pence sambamba na kuashiria kwamba Marekani haitoendelea kufumbia macho matukio yanayojiri nchini Venezuela, amesisitiza juu ya kuendelezwa mashinikizo dhidi ya serikali ya nchi hiyo.

  • Ghasia, ajali ya moto katika jela nchini Venezuela vyaua watu 68

    Ghasia, ajali ya moto katika jela nchini Venezuela vyaua watu 68

    Mar 29, 2018 10:30

    Kwa akali watu 68 wamepoteza maisha katika vurugu zilizozuka katika gereza moja nchini Venezuela na kusababisha kutokea kwa mkasa wa moto.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS