Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Venezuela

  • Maduro: Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN ni 'saratani na kikaragosi cha Marekani'

    Maduro: Kamishna wa Haki za Binadamu wa UN ni 'saratani na kikaragosi cha Marekani'

    Mar 10, 2018 04:24

    Rais wa Venezuela amemtaja Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa kama saratani na kikaragosi cha Marekani.

  • Cuba na Venezuela Kuungana Kukabiliana na Chokochoko za Marekani

    Cuba na Venezuela Kuungana Kukabiliana na Chokochoko za Marekani

    Feb 24, 2018 10:48

    Harakati ya Urafiki na Mshikamano wa Cuba na Venezuela imesisitiza kuhusu muungano wa nchi hizo mbili katika kukabiliana na chokochoko za uingiliaji wa Marekani.

  • Ethiopia kuwaachia huru maelfu ya wafungwa wa upinzani

    Ethiopia kuwaachia huru maelfu ya wafungwa wa upinzani

    Jan 29, 2018 03:23

    Serikali ya Ethiopia imetangaza kuwa itawaachia huru wafungwa waliotiwa nguvuni kufuatia machafuko ya mwaka 2015 na 2016 yaliyotokea katika eneo la Oromia.

  • Kuendelea hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Venezuela

    Kuendelea hatua za uhasama za Marekani dhidi ya Venezuela

    Jan 07, 2018 09:20

    Rais Nicolás Maduro wa Venezuela amekosoa vikali kuendelea siasa za uhasama za serikali ya Marekani dhidi ya nchi yake.

  • Marais wa nchi za Amerika ya Latini wakipongeza chama tawala Venezuela kwa kuwashinda wapinzani marafiki wa Magharibi

    Marais wa nchi za Amerika ya Latini wakipongeza chama tawala Venezuela kwa kuwashinda wapinzani marafiki wa Magharibi

    Oct 16, 2017 13:07

    Marais wa nchi za Bolivia, Nicaragua na Cuba sambamba na kukaribisha ushindi wa chama tawala cha Kisosholisti nchini Venezuela kwa kuibuka mshindi katika uchanguzi wa magavana wa majimbo ya nchi hiyo uliofanyika Jumapili ya jana, wamefurahishwa pia na umoja na mshikamano wa Wavenezuela dhidi ya njama za Wamagharibi.

  • Ukosoaji mkali wa Venezuela dhidi ya Ulaya

    Ukosoaji mkali wa Venezuela dhidi ya Ulaya

    Oct 15, 2017 07:45

    Viongozi wa serikali ya Venezuela wamekosoa vikali juhudi za Umoja wa Ulaya na Marekani za kutaka kuufanya uchaguzi wa kieneo nchini humo kutokuwa na itibari.

  • Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri

    Rais wa Venezuela amkejeli Trump, asema amemfanya mashuhuri

    Oct 09, 2017 04:34

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametumia kinaya kumkejeli Donald Trump na kusema kuwa rais huyo wa Marekani amemfanya awe shakhsia maarufu duniani.

  • Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Venezuela: Marekani inafanya 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi yetu

    Sep 26, 2017 04:12

    Venezuela imesema Marekani inaendeleza kile ilichokitaja 'ugaidi wa kisaikolojia' dhidi ya nchi hiyo ya Amerika ya Latini.

  • Rais Evo Morales: Rais Donald Trump wa Marekani ameipigia magoti serikali ya Venezuela

    Rais Evo Morales: Rais Donald Trump wa Marekani ameipigia magoti serikali ya Venezuela

    Sep 18, 2017 02:56

    Rais Evo Morales wa Bolivia amesema kuwa, hatimaye Marekani imepiga magoti na kusalimu amri mbele ya serikali ya Venezuela kwa kukubali kufanyika mazungumzo ya kitaifa ya nchi hiyo.

  • Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump

    Venezuela yajibu mapigo baada ya vitisho vya uingiliaji kijeshi wa Trump

    Aug 15, 2017 03:05

    Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ameliagiza jeshi la nchi hiyo kufanya luteka ya nchi nzima ikiwa ni radiamali kwa vitisho vilivyotolewa hivi karibuni na Rais Donald Trump wa Marekani aliyesema kuwa chaguo la kuishambulia kijeshi nchi hiyo lipo mezani.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS