-
Qassemi: Zama za kutumia vitisho vya kijeshi zimepita
Aug 14, 2017 04:22Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vitisho vya kutumia nguvu za jeshi vilivyotolewa na Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Venezuela na kusisitiza kuwa uzoefu unaonesha kuwa, zama za kutumia vitisho vya kijeshi na mashinikizo dhidi ya nchi huru na zinazojitawala kwa ajili ya kuzilazimisha zikubali matakwa yasiyo ya kimantiki na haramu zimemalizika.
-
Maduro: CIA inashirikiana na Mexico, Colombia dhidi ya Venezuela
Jul 25, 2017 09:43Rais wa Venezuela amesema Shirika la Kijasusi la Marekani CIA linashirikiana na Mexico na Colombia katika njama ya kuipindua serikali halali ya Caracas.
-
Jumatano 5 Julai, 2017
Jul 04, 2017 23:34Leo ni Jumatano tarehe 110 Shawwal 1438 Hijria, inayosadifiana na tarehe 5 Julai 2017.
-
Ijumaa, 14 Aprili, 2017
Apr 13, 2017 22:17Leo ni Ijumaa tarehe 16 Rajab 1438 Hijria sawa na tarehe 14 Aprili, 2017.
-
Uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela na indhari ya Caracas dhidi ya Washington
Feb 22, 2017 09:08Katika hatua inayohesabiwa kuwa ni uingiliaji wa serikali mpya ya Marekani dhidi ya Venezuela, Rais Donald Trump wa nchi hiyo amekutana na mke wa Leopoldo López, kiongozi mkuu wa upinzani anayezuiliwa katika jela nchini Venezuela.
-
Makamu wa Rais wa Venezuela: US imeniwekea vikwazo kwa kupinga ubeberu
Feb 14, 2017 22:03Makamu wa Rais wa Venezuela, Tareck El Aissami amekosoa vikali hatua ya Marekani kumuwekea vikwazo eti kwa madai ya kuhusika na ulanguzi wa mihadarati.
-
Rouhani: NAM iungane dhidi ya misimamo mikali ya upande mmoja
Feb 09, 2017 04:00Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa wito wa kuwepo ushirikiano zaidi baina ya nchi wananchama wa Jumuiya ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote NAM, akisisitiza kuwa mataifa huru yanafaa kuungana dhidi ya madola yenye kupenda kutoa maamuzi ya upande mmoja na misimamo ya kuchupa mipaka.
-
Rais wa Venezuela safarini Iran kwa mazungumzo ya mafuta
Oct 22, 2016 00:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela anaitembelea Iran katika sehemu ya safari yake ya kuzitembelea nchi zinazozalisha mafuta kwa wingi duniani ili kujaribu kuleta uthabiti katika soko la kimataifa la mafuta.
-
Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote, mwanzo mpya na changamoto nyingi
Sep 19, 2016 08:44Kikao cha 17 cha viongozi wa Harakati ya Nchi Zisizofungamana na Siasa za Upande Wowote (NAM), kilimaliza shughuli zake siku ya Jumapili katika kisiwa cha St. Margarita nchini Venezuela kwa kutoa taarifa ya pamoja.
-
Mjumbe wa Venezuela ashindwa kuvumilia jinai za Israel
May 07, 2016 23:17Wawakilishi wa Venezuela na utawala wa Kizayuni wa Israel wameshambuliana kwa maneno katika kikao cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuhusiana na Palestina.