-
Raisi: Kuimarisha uchumi ndio njia bora zaidi ya kukabiliana na vikwazo
Jun 13, 2023 12:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, kuna uwezo mkubwa ambao haujatumika wa kuzidisha mabadilishano ya kiuchumi kati ya Iran na Venezuela na kueleza kuwa, njia ya kutimiza nia ya kufikisha kiwango cha biashara baina ya pande mbili kwenye dola bilioni 20 ni kuimarisha uwekezaji kati ya nchi hizo mbili.
-
Iran, Venezuela zasaini hati 19 za ushirikiano; mabadilishano ya kibiashara kufikia dola bilioni 20
Jun 13, 2023 08:01Rais Ebrahim Raisi wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Venezuela zina uwezo wa kuongeza kiwango chao cha mabadilishano ya kibiashara kifikie cha thamani ya dola bilioni 20.
-
Rais wa Iran kutembelea Venezuela, Nicaragua na Cuba
Jun 07, 2023 10:24Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran hivi karibuni atafanya ziara katika nchi tatu za Venezuela, Nicaragua na Cuba kwa lengo la kuimarisha uhusiano na nchi rafiki na kupanua kiwango cha ushirikiano wa kiuchumi, kisiasa na kisayansi na nchi hizo.
-
Sisitizo la Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela kuhusu uhusiano wa jadi na Iran
Mar 05, 2023 08:42Ivan Khel Pinto, Waziri wa Mambo ya Nje wa Venezuela amesema katika mahojiano aliyofanyiwa na televisheni ya Al Mayadeen kwamba, uhusiano mzuri wa nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu, ni wa jadi na ni mkubwa.
-
Venezuela yaonyesha mshikamano wake kwa Uturuki na Syria; yatuma misaada ya kibinadamu kwa waathirika wa zilzala
Feb 09, 2023 02:19Kikosi cha waokoaji 52 wa Venezuela na wahudumu wa idara ya zima moto waliondoka jana Jumatano Caracas wakielekea katika nchi za Uturuki na Syria kwa ajili ya operesheni ya uokoaji wa waathirika wa tetemeko la ardhi lililozikumba nchi hizo.
-
Iran yatoa mwito wa kupanuliwa uhusiano wake na Venezuela
Feb 04, 2023 07:32Mawaziri wa mambo ya nje wa Iran na Venezuela wametilia mkazo udharura wa kuzidisha uhusiano na ushirikiano wa pande mbili katika nyuga tofauti bila vizingiti.
-
Indhari ya Rais wa Venezuela kuhusu kufikia ubeberu wa Marekani katika hatua hatarishi zaidi
Dec 28, 2022 01:57Rais Nicolas Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Rais wa Venezuela: Ubeberu wa Marekani umefikia kwenye hatua hatarishi zaidi
Dec 26, 2022 02:18Rais Nicolás Maduro wa Venezuela ametahadharisha kuwa ubeberu wa Marekani umeingia katika hatua hatarishi zaidi na unajaribu kufanya kila njia ili kuzusha mapigano na kuwasha moto wa vita duniani.
-
Serikali mpya ya Brazil kurejesha uhusiano wake wa kidiplomasia na Venezuela
Dec 15, 2022 07:09Serikali mpya ya Brazil inapanga kurejesha uhusiano wa kidiplomasia wa nchi hiyo na Venezuela, ambao ulivunjwa wakati wa serikali iliyopita ya nchi hiyo.
-
Kusambaratika siasa za vikwazo; Marekani yapigia magoti mafuta ya Venezuela
Nov 29, 2022 02:27Baada ya kupita takriban miaka 10 ya vikwazo vikali vya Marekani dhidi ya Venezuela, hatimaye Washington imesalimu amri na imeamua kupigia magoti mafuta ya Venezuela.