-
Rais wa Venezuela: Vikwazo ni jinai dhidi ya binadamu
Sep 26, 2022 10:56Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema, vita vya kiuchumi vya nchi za Magharibi dhidi ya nchi yake ni "jinai dhidi ya binadamu" na ametabiri kuundwa ulimwengu wa kambi kadhaa kwa mchango wa Iran, Russia na China.
-
Bolton akiri kupanga na kutekeleza njama za mapinduzi katika nchi tofauti duniani
Jul 13, 2022 10:25John Bolton, Mshauri wa zamani wa Usalama wa Kitaifa wa Ikulu ya White House amekiri kushiriki katika mipango na njama za mapinduzi dhidi ya serikali za nchi tofauti duniani.
-
Raisi: Mataifa ya wanamapambano yana nguvu kubwa za kusambaratisha vikwazo vya Marekani
Jun 13, 2022 03:38Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, hatua ya Tehran ya kutengeneza meli kubwa ya mafuta na kuikabidhi kwa Venezuela imethibitisha kivitendo kuwa mataifa ya wanamapambano yana nguvu kubwa za kuweza kusambaratisha vikwazo vya Marekani.
-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu kuwa mapambano ndio njia pekee ya kufikia ushindi dhidi ya Marekani
Jun 12, 2022 09:03Akizungumza jana Jumamosi alasiri katika kikao na Rais Nicolas Maduro wa Venezuela na ujumbe alioandamana nao, Ayatullah Khamenei, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya kusimama imara Iran na Venezuela mbele ya mashinikizo makali na vita vya pande kadhaa vya Marekani na kusisitiza: Uzoefu wa mafanikio wa nchi mbili unaonyesha kwamba njia pekee ya kukabiliana na mashinikizo hayo ni mapambano na kusimamam imara.
-
Kiongozi Muadhamu: Muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya Marekani
Jun 12, 2022 03:27Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema uzoefu wenye mafanikio wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Venezuela katika kupambana na vikwazo vya Marekani umedhihirisha wazi kuwa, muqawama ndio njia pekee ya kuzima mashinikizo ya namna hiyo.
-
Maduro: Iran na Venezuela ziko mstari wa mbele kupambana na madola ya kibeberu
Jun 11, 2022 07:26Rais Nicolas Maduro wa Venezuela amesema kuwa, nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ndizo nchi zilizoko mstari wa mbele katika kupambana na ubeberu na uistikbari duniani kutokana na kuwa lengo lao ni moja.
-
Rais Maduro wa Venezuela aitembelea Iran kwa ziara ya siku 2
Jun 11, 2022 02:40Rais Nicolas Maduro wa Venezuela aliwasili hapa Tehran jana Ijumaa kwa safari rasmi ya kikazi ya siku mbili ya kuitembelea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Iran na Venezuela zasaini makubaliano ya ushirikiano ya miaka 20
Jun 11, 2022 11:16Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na mwenzake wa Venezuela, Nicolas Maduro wamesaini makubaliano ya kuimarisha ushirikiano ya miaka 20, yenye lengo la kupiga jeki uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga mbalimbali.
-
Venezuela: Tutazipatia Ulaya na Marekani mafuta ikiwa vikwazo vitaondolewa
Mar 12, 2022 07:27Mwenyekiti wa kamati ya mafuta na nishati katika Bunge la Venezuela amesema, ikiwa vikwazo vitaondolewa, nchi hiyo inaweza kudhaminii mahitaji ya nishati ya Marekani na Ulaya mnamo katikati ya mwaka huu.
-
"CIA ilifahamu kuhusu njama za kumpindua Rais wa Venezuela"
Jan 30, 2022 07:52Imebainika kuwa, maafisa wa ngazi za juu wa utawala wa Marekani wakiwemo maafisa waandamizi wa Shirika la Ujasusi la Marekani CIA, walifahamu kuhusu kuwepo kwa njama za kumpindua madarakani Rais Nicolas Maduro wa Venezuela.