-
Pezeshkian: Marekani haitapata chochote kupitia mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya Iran
Aug 27, 2026 04:32Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Marekani haitaweza kufanikisha lolote kupitia mashinikizo ya kiuchumi, akisisitiza kuwa Iran itaendelea kusimama imara.
-
Iran yataka UN na nchi wanachama zikatae “ugaidi wa kiuchumi” wa Marekani
Aug 27, 2026 04:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araghchi, amelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na nchi wanachama wa umoja huo kukataa kampeni mpya ya Marekani ya ugaidi wa kiuchumi dhidi ya Iran, akisema Washington inalenga kuzilazimisha nchi nyingine kuacha mahusiano halali ya kiuchumi na Tehran kwa kutumia vitisho vya vikwazo.
-
Taasisi ya Brookings: Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya Iran ni vya kimaonyesho tu
Aug 25, 2026 10:12Mjumbe mkuu wa taasisi ya wanafikra ya Brookings amezungumzia mpango wa Marekani wa eti kuzidisha mashinikizo ya kiuchumi dhidi ya Iran na kusema: Kwa mujibu wa matarajio, mpango huu si chochote ila kampeni ya kipropaganda yenye makelele mengi.
-
Iran: Vikwazo vipya vya Marekani ni ‘ugaidi wa kiuchumi’ na ‘uhalifu dhidi ya ubinadamu’
Aug 21, 2026 10:34Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imelaani vikali mzunguko mpya wa vikwazo vya kiuchumi vilivyowekwa na Marekani dhidi ya taifa hili, ikisisitiza kuwa hatua hizo ni sawa na “ugaidi wa kiuchumi” na “uhalifu dhidi ya ubinadamu.”
-
Wimbi jipya la vikwazo dhidi ya Iran; Trump awalenga washirika wa kibiashara wa Iran
Feb 07, 2026 22:53Trump amesaini dikrii kwa ajili ya kuwatoza ushuru washirika wa kibiashara wa Iran.
-
Sera za uadui za Umoja wa Ulaya dhidi ya Iran; Brussels inataka nini?
Jan 31, 2026 05:27Umoja wa Ulaya umeendeleza msimamo wake wa kuingilia masuala ya ndani ya Iran kwa kuweka vikwazo vipya dhidi ya Tehran kwa kisingizio cha masuala ya haki za binadamu.
-
Vikwazo vipya vya Marekani dhidi ya ICC; hujuma ya dhahir shahir inayolenga sheria na taasisi za kimataifa
Dec 20, 2025 06:40Katika hatua ya kiupendeleo ya kuuunga mkono utawala wa Kizayuni wa Israel, Marekani imewawekea vikwazo majaji wawili wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai, ICC.
-
Kuongezeka idadi ya nchi zilizosusia Mashindano ya Eurovision kulalamikia kushirikishwa utawala wa Kizayuni
Dec 13, 2025 05:54Idadi ya nchi zilizosusia mashindano ya Eurovision zikipinga kushirikishwa utawala wa Kizayuni katika mashindano hayo, imeongezeka.
-
Sera za vikwazo dhidi ya Cuba: Mfano wa mbinu ya mabavu ya Washington katika kuamiliana na nchi nyingine
Nov 23, 2025 10:46Ripota Maalumu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa ametangaza kuwa vikwazo vya Marekani vimeifanya hali ya kibinadamu nchini Cuba kuwa mbaya sana na ametaka kuondolewa haraka vikwazo hivyo.
-
Kwa nini vikwazo vya mafuta dhidi ya Iran vimefeli?
Nov 10, 2025 23:49Shirika la Kimataifa la Ufuatiliaji wa Meli za Mafuta, katika ripoti yake mpya, limesema kuwa mauzo ya nje ya mafuta ghafi ya Iran yamefikia kiwango cha juu zaidi katika kipindi cha miaka saba iliyopita.