-
Jumapili tarehe 22 Mei mwaka 2022
May 22, 2022 01:31Leo ni Jumapili tarehe 20 Shawwal 1443 Hijria sawa na Mei 22 mwaka 2022.
-
Bagheri Kani: Siasa za kiistratijia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni kufelisha vikwazo
May 15, 2022 07:39Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, siasa za kimkakati za Jamhuri ya Kiislamu ni kufelishi vikwazo.
-
Iran UN ikabiliane na vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu huko Magharibi
May 05, 2022 02:49Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amevitaja vikwazo na hujuma dhidi ya Uislamu (Islamophobia) katika nchi za Magharibi kuwa ni kinyume na kanuni, sheria za kimataifa, sheria ya kibinadamu na Hati ya Umoja wa Mataifa, na ametoa wito kwa idara ya Mawasiliano ya Kimataifa ya umoja huo kuendeleza juhudi za kukabiliana na athari mbaya za vikwazo vya upande mmoja kwa nchi zilizoathiriwa na vikwazo.
-
Kuongezeka mpasuko ndani ya EU kuhusu vikwazo vya mafuta na gesi dhidi ya Russia
Mar 27, 2022 21:57Waziri Mkuu wa Poland, Mateusz Morawiecki amedai kuwa, nchi tatu za Ulaya za Ujerumani, Austria na Hungary ni kizuizi katika utekelezaji wa vikwazo vipya dhidi ya Russia na kuzifananisha nchi hizo tatu na breki inayozuia vikwazo vya Magharibi dhidi ya Moscow.
-
Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati
Mar 19, 2022 02:35Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.
-
Macron na Biden waafikiana kuongeza vikwazo dhidi ya Russia
Mar 14, 2022 04:43Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amezungumza kwa njia ya simu na mwenzake wa Marekani kuhusu mashambulio ya Russia dhidi ya Ukraine, na pande hizo mbili zimekubaliana kuzidisha vikwazo dhidi ya Moscow.
-
Kuongezeka propaganda za kueneza chuki dhidi ya Russia barani Ulaya
Mar 09, 2022 04:38Huku mgogoro ukizidi kuwa mkubwa baina ya Russia na nchi za Magharibi hususan kutokana na kupamba moto mapigano nchini Ukraine, mashinikizo yanayotokana na vikwazo vya Magharibi dhidi ya Russia nayo yameongezeka.
-
Amir-Abdollahian: Mazungumzo ya Vienna yatafanikiwa iwapo nchi za Magharibi zaitabadilisha msimamo
Feb 27, 2022 01:17Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amefanya mazungumzo ya simu na Mkuu wa Sera za Kigeni wa Umoja wa Ulaya na kusema baadhi ya masuala muhimu yaliyosalia katika mazungumzo ya Vienna ya kuondolewa Iran vikwazo yanaweza kutatuliwa.
-
Vikwazo vyenye wigo mpana vya Wamagharibi dhidi ya Russia
Feb 25, 2022 10:03Baada ya Russia kuchukua uamuzi wa kuishambuulia kijeshi Ukraine, kambi ya magharibi imeonyesha radiamali katika fremu ya kuiwekea vikwazo Moscow ambapo kabla ya hapo madola hayo yalikuwa yameahidi kuchukua uamuzi huo.
-
Vikwazo vya kimaonyesho vya Magharibi dhidi ya Russia kwa kisingizio cha mgogoro wa Ukraine
Feb 23, 2022 23:22Tangazo la Russia la kutambua rasmi uhuru wa Jamhuri za watu wa Donetsk na Luhansk huko mashariki mwa Ukraine limeibua hisia kali za nchi za Magharibi.