-
Poland yaonya: Ulaya ipo katika ncha ya kutumbukia vitani
Jan 14, 2022 03:07Waziri wa Mambo ya Nje wa Poland ametahadharisha kuwa, bara Ulaya lipo katika hatari kubwa ya kutumbukia kwenye vita wakati huu, kuliko ilivyokuwa miongo mitatu iliyopita.
-
Marekani yaendelea kushirikiana na Saudi Arabia katika vita vya Yemen
Dec 05, 2021 02:37Mashambulio ya mabomu dhidi ya Yemen yanayofanywa na jeshi la muungano unaoongozwa na Saudi Arabia yanaendelea huku nchi za Magharibi, zinazotoa nara za kutetea haki za binadamu hususan Marekani, zikiendelea kuisaidia Saudi Arabia katika kutenda jinai dhidi ya wananchi wa Yemen.
-
UN na AU zatoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, onyo la kukaririwa hali ya Kabul latolewa
Dec 04, 2021 02:36Umoja wa Mataifa na Umoja wa Afrika zimetoa wito wa kusitishwa mapigano nchini Ethiopia, huku afisa wa Umoja wa Mataifa akionya dhidi ya kukaririwa hali iliyoshudiwa Kabul nchini Afghanistan baada ya Taliban kuidhibiti nchini hiyo, huko Addis Ababa.
-
Rais Lukashenko: Marekani inataka kuanzisha vita Belarus
Nov 27, 2021 04:37Rais Alexander Lukashenko wa Belarus amesema Marekani inatumia mgogoro wa wakimbizi kutaka kuibua makabiliano baina ya nchi mbili hizo.
-
Umoja wa Afrika kutuma mjumbe nchini Sudan kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisiasa
Nov 15, 2021 02:48Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika amesema umoja huo utatuma mjumbe nchini Sudan kwa ajili ya kutafuta suluhisho la mgogoro wa kisaisa nchini humo.
-
Serikali ya Ethiopia yatangaza masharti ya mazungumzo ya kusitisha mapigano Tigray
Nov 12, 2021 07:53Serikali ya Ethiopia imetangaza masharti kwa ajili ya kufanya mazungumzo ya kusitisha mapigano na viongozi wa chama cha Tigray People’s Liberation Front (TPLF), kufuatia juhudi za kidiplomasia za kimataifa zenye lengo la kusitisha uhasama unaozidi kuongezeka huko kaskaqzini mwa nchi hiyo.
-
China yaonya kuhusu kurejea vita baridi eneo la Asia-Pasifiki
Nov 11, 2021 09:46Rais Xi Jinping wa China ameonya kuhusu uwezekano wa kurejea mgogoro wa zama za Vita Baridi katika eneo la Asia Pasifiki huku hali ya taharuki ikiendelea kushuhudiwa baina ya Marekani na China kuhusu eneo la China Taipei.
-
Kiongozi wa wanaotaka kujitenga Biafra (IPOB), kufikishwa mahakamani leo
Nov 10, 2021 06:32Kiongozi wa Watu wa Asili wa Biafra (IPOB), wanaotaka kujitenga eneo la kusini mashariki mwa Nigeria, anatazamiwa kurejeshwa mahakamani hii leo Jumatano katika mji mkuu wa Nigeria, Abuja.
-
UN: Ethiopia inakaribia kutumbukia katika vita kubwa ya wenyewe kwa wenyewe
Nov 09, 2021 12:37Mkuu wa Idara ya Siasa ya Umoja wa Mataifa, Rosemary DiCarlo amesema hatari ya Ethiopia kuingia katika vita vya wenyewe kwa wenyewe ni kubwa mno", akiongeza kuwa athari za kisiasa za kushadidi ghasia nchini humo zitazidisha migogoro inayolisumbua eneo la Pembe ya Afrika.
-
Serikali ya Biden yaidhinisha mauzo ya silaha kwa Saudi Arabia
Nov 06, 2021 15:47Wizara ya Mambo ya Nchi za Nje ya Marekani imeidhinisha mauzo ya makombora yenye thamani ya dola milioni 650 kwa Saudi Arabia.