-
Jumamosi, 12 Julai, 2025
Jul 12, 2025 02:36Leo ni Jumamosi 16 Mfunguo Nne Muharram 1447 Hijria sawa na 12 Julai 2025 Miladia.
-
Hotuba ya Sayyid Hassan Nasrullah katika kumbukumbu ya vita vya siku 33
Jul 15, 2023 07:30Hotuba iliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika maadhimisho ya mwaka wa 17 tangu baada ya ushindi wa harakati hiyo dhidi ya jeshi la Israel katika vita vya siku 33 vya 2006, kama kawaida, imegusa pande zote na kutoa majibu kwa masuala muhimu zaidi yanayoshughulisha fikra za watu kwa sasa.
-
Vita vya Siku 33; mabadiliko muhimu na makubwa kwa Muqawama katika muundo wa kisiasa na kiusalama Asia Magharibi
Jul 15, 2022 08:49Miaka 16 imepita tangu vilipopiganwa vita vya mwaka 2006 vilivyoanzishwa na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Matamshi ya Sayyid Nasrullah katika kumbukumbu ya mwaka wa 15 baada ya vita vya siku 33
Aug 08, 2021 10:39Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon jioni ya Jumamosi ya jana alitoa hotuba muhimu kwa mnasaba wa kutimia mwaka wa 15 tangu baada ya vita vya siku 33 na utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Nukta tano muhimu katika hotuba ya Sayyid Hassan Nasrallah katika mwaka wa 14 wa ushindi wa Vita vya Siku 33
Aug 15, 2020 09:46Sayyid Hassan Nasrallah, Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Ijumaa usiku alizungumza kwa mnasaba wa mwaka wa 14 wa ushindi wa harakati hiyo ya muqawama katika Vita vya Siku 33 vya Mwaka 2006.
-
Israel yashindwa katika vita vya kisaikolojia katika kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa vita vya siku 33
Jul 28, 2020 10:33Sambamba na kumbukumbu ya mwaka wa 14 wa Vita vya Siku 33, utawala wa Kizayuni unakabiliwa na changamoto kadhaa za ndani na hivyo umeanzisha vita vipya vya kisaikolojia dhidi ya Hizbullah. Pamoja na hayo, lakini taarifa ya Hizbullah imesambaratisha vita hivyo vya kisaikolojia.
-
Shamkhani: Ngano ya kwamba "Israel haishindwi" imefeli
Aug 09, 2019 02:58Katibu Mkuu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa katika vita vya siku 33 vya Lebanon muqawama wa Kiislamu na harakati ya Hizbullah ya Lebanon ilifelisha ngano inayodai kwamba jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel halishindwi.