Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Vyama vya ndani ya Yemen

  • Muqawama wa Kiislamu Iraq: Hatua yoyote ya kipumbavu ya Saudia itakabiliwa na jibu la haraka

    Muqawama wa Kiislamu Iraq: Hatua yoyote ya kipumbavu ya Saudia itakabiliwa na jibu la haraka

    Jul 28, 2026 03:55

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Iraq imeuonya utawala wa kifalme wa Saudi Arabia kwamba hatua yoyote ya kipumbavu itakayochukuliwa na Riyadh itakabiliwa na jibu kali litakaloulamisha kujutia maamuzi yake.

  • Jeshi la Yemen latekeleza hujuma ya makomora dhidi ya Saudi Arabia

    Jeshi la Yemen latekeleza hujuma ya makomora dhidi ya Saudi Arabia

    Jul 25, 2026 11:15

    Vikosi vya Ulinzi vya Yemen vimefyatua makombora na kupiga kituo kikuu cha kijeshi cha anga katika jimbo la Asir, kusini mwa Saudi Arabia, ikiwa ni hatua ya kujibu mapigo dhidi ya mashambulizi ya kijeshi ya hivi karibuni ya utawala wa Saudia pamoja na mzingiro unaoendelea dhidi ya nchi hiyo.

  • Yemen yaonya Saudi Arabia kuhusu ‘matokeo mabaya’ iwapo uchokozi na kuzingirwa vitaendelea

    Yemen yaonya Saudi Arabia kuhusu ‘matokeo mabaya’ iwapo uchokozi na kuzingirwa vitaendelea

    Jul 21, 2026 11:28

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Yemen imeonya utawala wa Saudi Arabia kuhusu “matokeo mabaya na makubwa” iwapo utaendelea kuongeza mashambulizi yake kwa kulenga miundombinu ya kiraia, na kuimarisha sera ya kuzingira bandari na viwanja vya ndege nchini Yemen.

  • Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia inahudumia miradi ya Wamarekani-Wazayuni

    Ansarullah ya Yemen: Saudi Arabia inahudumia miradi ya Wamarekani-Wazayuni

    Jul 19, 2026 03:24

    Mjumbe wa ngazi za juu wa harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema kwamba Saudi Arabia imeweka uwezo na suhula zake za kisiasa, kifedha na kijeshi katika huduma ya miradi ya Marekani eneo la Asia Magharibi na inafanya kazi ya kudhoofisha mataifa ambayo yana misimamo dhidi ya Israel.

  • Ansarullah yatishia kushambnulia vituo vyovyote vya Israel katika eneo la Somaliland

    Ansarullah yatishia kushambnulia vituo vyovyote vya Israel katika eneo la Somaliland

    Jun 26, 2026 11:20

    Kiongozi wa harakati ya Ansarullah ya Yemen, Abdul-Malik al-Houthi, ameapa kwamba atashambulia uwepo wowote wa Israel katika eneo lililojitenga na Somalia la Somaliland kwa njia zote zinazowezekana, akisisitiza kwamba Yemen "haitakaa kimya mbele ya uwepo wowote wa Israel huko Somaliland, na haitawasubiri waoga."

  • Yemen yasema uwepo wowote wa Israel katika maji ya Somalia utakuwa shabaha halali

    Yemen yasema uwepo wowote wa Israel katika maji ya Somalia utakuwa shabaha halali

    Jun 23, 2026 11:20

    Mwanachama wa ngazi za juu wa harakati inayotawala nchini Yemen ya Ansarullah ameonya kuhusu uwepo wa vikosi vya jeshi la Israel katika maji ya Somalia, akisema kwamba kupelekwa huko wanajeshi hao kutatambuliwa kuwa shabaha halali.

  • Onyo la Yemen: Hakuna atakayefungua Lango Bahari la Bab el Mandeb likifungwa

    Onyo la Yemen: Hakuna atakayefungua Lango Bahari la Bab el Mandeb likifungwa

    Apr 19, 2026 10:34

    Mwanachama wa ngazi ya juu wa harakati ya mapambano ya Kiislamu ya Ansarullah nchini Yemen amemhimiza Rais wa Marekani Donald Trump kujiepusha na maamuzi ya uchochezi na kuheshimu haki za mataifa ya Kiislamu, akimwonya yeye pamoja na washirika wake kuhusu uwezekano wa kufungwa kwa Lango Bahari la Bab el Mandeb.

  • Jeshi la Yemen lajibu mapigo kwa kushambulia maeneo kadhaa ya Israel

    Jeshi la Yemen lajibu mapigo kwa kushambulia maeneo kadhaa ya Israel

    Jul 07, 2025 02:49

    Jeshi la Yemen limefanya mashambulizi mapya ya makombora katika maeneo mbali mbali ya Israel katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu, ili kulipiza kisasi cha mashambulizi ya anga ya utawala huo pandikizi dhidi ya nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Ansarullah: Katika Uislamu wa Imamu Hussein (AS), kujisalimisha hakuna nafasi

    Ansarullah: Katika Uislamu wa Imamu Hussein (AS), kujisalimisha hakuna nafasi

    Jul 06, 2025 15:03

    Kiongozi wa Harakati ya Ansarullah ya Yemen amesema, katika Uislamu wa Imamu Hussein (AS), kujidhalilisha na kusalimu amri hakuna nafasi hata chembe.

  • Ben Gurion yafungwa tena kutokana na shambulio la kombora la Yemen

    Ben Gurion yafungwa tena kutokana na shambulio la kombora la Yemen

    Jul 06, 2025 10:57

    Mamlaka ya anga ya Israel imesitisha safari zote za ndege za kuwasili na kuondoka katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Ben Gurion na kusema kuwa kituo hicho kitaendelea kufungwa "kwa muda usiojulikana" baada ya Vikosi vya Wanajeshi wa Yemen kufanya shambulio la kombora, kulipiza kisasi vita vya mauaji ya halaiki vinavyoendelea vya utawala wa Tel Aviv dhidi ya Wapalestina huko Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS