-
Kiongozi wa Kikristo Palestina awataka Wakristo na dunia kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel
Jul 19, 2017 09:33Kiongozi wa Kikristo wa kanisa la Orthodox huko Palestina Atallah Hanna, ameomba msaada wa haraka kutoka kwa Wakristo na taasisi za kutetea haki za binaadamu duniani, kuzuia uvamizi wa Wazayuni wa Israel huko Quds.
-
Wakristo Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wana hamu na shauku ya kujifunza Qur'ani
Apr 27, 2017 11:35Haafidh wa Qur'ani tukufu kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo amesema Wakongomani wana hamu na shauku kubwa ya kujifunza Uislamu kiasi kwamba Wakristo wa nchi hiyo wanawapeleka watoto wao madrasa ili wakasomeshwe Qur'ani.
-
Mufti wa Misri: Fatwa 3000 zimetolewa kupinga kuishi pamoja Waislamu na Wakristo
Apr 01, 2017 11:55Mufti wa Misri amesema kuwa asilimia 90 ya hukumu na fatwa za watu wanaofurutu ada zinawachochea watu kwenda kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na kuzusha mifarakano baina ya Waislamu na Wakristo.
-
Hakuna anayesalimika na mashambulizi ya magaidi nchini Misri
Mar 07, 2017 01:01Makumi ya familia za Wakristo zimelazimika kukimbia makazi yao katika mkoa wa Sinai Kaskazini nchini Misri kutokana na mashambulizi ya watu wenye silaha.
-
El Sisi atetea siasa zake za kupambana na magenge ya kigaidi
Mar 01, 2017 03:48Rais Abdul Fattah el Sisi wa Misri ametetea stratijia na mikakati ya serikali yake katika kupambana na magenge ya kigaidi kwenye mkoa wa Sinai Kaskazini.
-
Quds ni mstari mwekundu kwa Waislamu wote
Jan 20, 2017 00:52Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Chama cha Ukombozi wa Palestina PLO amesisitiza kuwa mji mtakatifu wa Quds ni mstari mwekundu kwa Wapalestina, kwa ulimwengu wa Kiarabu, kwa Waislamu na pia kwa Wakristo ulimwenguni.
-
AFP: Wafuasi wa dini za wachache wana usalama mkubwa nchini Iran
Dec 26, 2016 03:54Shirika la habari la Ufaransa AFP limetangaza kuwa, wafuasi wa dini za wachache wakiwemo Wakristo wanaishi kwa usalama mkubwa nchini Iran na kwamba nchi hiyo ni katika nchi zenye usalama mkubwa zaidi kwa watu wa dini za wachache kwenye eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rais Rouhani atuma salamu za Krismasi kwa Papa Francis na Wakristo wote duniani
Dec 25, 2016 04:30Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametoa salamu za kheri na fanaka kwa viongozi wa nchi za Wakristo duniani kwa mnasaba wa kuwadia Krismami, siku ya kukumbuka kuzaliwa Nabii Issa Masih AS (Yesu).
-
Ireland yaweka sheria ya kuwawajibisha mawakili Waislamu kuapa kwa kutumia Qur'ani
Apr 24, 2016 23:35Jamii ya wanasheria nchini Ireland, imewawajibisha mawakili na washauri wa sheria Waislamu kutumia Qur'ani Tukufu wakati wa kula kiapo.
-
Mhubiri Mkristo Mmarekani aliyewanyanyasa mayatima kingono huko Kenya afungwa
Mar 08, 2016 11:18Mhubiri Mkristo wa Marekani amehukumiwa miaka 40 jela kwa kuwanyanyasa kingono watoto katika kituo kimoja cha mayatima chini Kenya.