Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Waziri wa Mambo ya Nje

  • Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Safari ya kieneo ya Mike Pompeo; juhudi za kuupa uhalali utawala wa Kizayuni wa Israel

    Aug 25, 2020 12:19

    Katika kipindi cha uongozi wa Rais Donal Trump nchini Marekani, nchi hiyo imefanya mambo na kuchukua hatua ambazo hazijawahi kushuhudiwa huko nyuma kwa maslahi ya utawala haramu wa Israel.

  • Upinzani wa wanachama 13 wa Baraza la Usalama kwa ombi la Marekani la kuanzisha utaratibu wa

    Upinzani wa wanachama 13 wa Baraza la Usalama kwa ombi la Marekani la kuanzisha utaratibu wa "Snapback Mechanism"

    Aug 22, 2020 10:27

    Kushindwa Marekani katika njama zake za kulazimisha kukubaliwa pendekezo la kuiongezea Iran muda wa vikwazo vya silaha katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kumeipelekea Washington kuchukua hatua ya kukurupuka ya kuwasilisha ombi la kuanzisha utaratibu wa kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran papo kwa hapo yaani "Snapback Mechanism." Ombi hilo la Marekani hata hivyo nalo limepingwa vikali ndani ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.

  • Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Juhudi za Pempeo kuiarifisha China kama tishio kwa nchi za Ulaya

    Aug 14, 2020 02:51

    Tokea aingie madarakani mwezi Januari 2017, Rais Donald Trump wa Marekani amekuwa akitekeleza siasa kali na za uhasama dhidi ya China ambapo amekuwa akiendesha vita vya kisiasa, kibiashara na kiusalama dhidi ya nchi hiyo muhimu ya Asia.

  • Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Kujiuzulu Brian Hook; nembo ya kufeli wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran

    Aug 07, 2020 12:49

    Serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani ikitumia wenzo wa mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa, iliiwekea Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vikwazo ambavyo havijawahi kushuhudiwa.

  • Kujiuzulu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon; duru mpya ya ukwamishaji mambo dhidi ya serikali ya Hassan Diab

    Kujiuzulu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon; duru mpya ya ukwamishaji mambo dhidi ya serikali ya Hassan Diab

    Aug 04, 2020 11:19

    Nassif Hitti, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Lebanon Jumatatu ya jana tarehe 3 Agosti alitangaza kujiuzulu wadhifa huo.

  • Indhari ya Pompeo kwa Russia na madai ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Afghanistan ifikapo Mei 2021

    Indhari ya Pompeo kwa Russia na madai ya kuondoka wanajeshi wa Marekani Afghanistan ifikapo Mei 2021

    Aug 02, 2020 02:23

    Rais Donald Trump wa Marekani ameanzisha rasmi mchakato wa kuondoka wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan kabla ya wakati ulioainishwa awali, kwa kuzingatia ahadi alizotoa wakati wa kampeni za uchaguzi na mapatano iliyofikia Marekani na kundi la Taliban mwezi Februari mwaka huu. Hivi sasa Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani anazungumzia kuainishwa wakati wa kukamilisha mchakato huo wa kuwaondoa wanajeshi wa nchi hiyo huko Afghanistan na wakati huo huo anatoa vitisho kwa Russia.

  • Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Sisitizo la Russia juu ya mchango wa Marekani katika magendo ya madawa ya kulevya nchini Afghanistan

    Jul 08, 2020 04:19

    Mwaka 2001 Marekani iliishambulia kijeshi Afghanistan kwa kisingizio cha mashambulio ya Septemba 11 na ikaikalia kwa mabavu nchi hiyo.

  • Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Sisitizo la Russia la kutatuliwa hitilafu za JCPOA kupitia Kamisheni ya Pamoja

    Jul 06, 2020 02:27

    Licha ya Umoja wa Ulaya na Troika ya Ulaya kuahidi kutekeleza ahadi zao katika fremu ya mapatano ya JCPOA, lakini pande mbili hizo zimeshindwa kabisa kutekeleza ahadi hizo.

  • Sisitizo la Borrell la kulindwa JCPOA na siasa za kindumakuwili za nchi za Ulaya

    Sisitizo la Borrell la kulindwa JCPOA na siasa za kindumakuwili za nchi za Ulaya

    Jul 05, 2020 00:17

    Umoja wa Ulaya na Troika ya bara hilo inayojumuisha nchi za Ujerumani, Uingereza na Ufaransa, zilikuwa na mchango mkubwa katika kufanikisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA. Hata hivyo baada ya Marekani kujiondoa katika mapatano hayo, nchi hizo zilikuwa na mwenendo hasi na usiokubalika katika kutetea na kulinda makubaliano hayo na pia katika utekelezaaji wake.

  • Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jitihada za Marekani za kuishawishi Ulaya iungane na Washington dhidi ya China

    Jun 28, 2020 02:33

    Marekani katika kipindi cha utawala wa Rais Donald Trump imezididisha mienendo yake ya kukabiliana na China katika nyuga mbalimbali. Mbali na kutaka kuitwisha Beijing matakwa yake katika nyanja za kibiashara na kiuchumi, sasa Marekani inaingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo hususan katika maeneo mawili ya Hong Kong na Xinjiang kwa kisingizio cha haki za binadamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS