Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Wizara ya Mambo ya Nje

  • Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Vikosi vya ulinzi vyatoa 'vipigo vikali' kwa vituo vya Marekani, na mali baada ya 'hujuma haramu'

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran: Vikosi vya ulinzi vyatoa 'vipigo vikali' kwa vituo vya Marekani, na mali baada ya 'hujuma haramu'

    Jun 10, 2026 10:49

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imeripoti kuwa vikosi vya ulinzi vya nchi hii vimetoa vipigo vikali kwa kambi za Marekani na mali mbalimbali katika kanda hii ambavyo Marekani imevitumia kuishambulia Iran.

  • Iran yasema misimamo ya Marekani “inayobadilika na kinzani” imekwamisha mazungumzo

    Iran yasema misimamo ya Marekani “inayobadilika na kinzani” imekwamisha mazungumzo

    Jun 08, 2026 03:21

    Iran imesema mazungumzo yanayoendelea na Marekani bado yamekwama hasa kutokana na misimamo ya Washington inayobadilika mara kwa mara na yenye kauli zinazokinzana. Aidha Marekani inaendelea “kubadilisha vigezo vya mazungumzo.” Hata hivyo, ubadilishanaji wa ujumbe kati ya pande hizo mbili unaendelea kupitia wapatanishi kutoka Pakistan.

  • Baqaei: Mauaji ya umati ya Minab ni mfano mmoja tu wa jinai za Marekani na Israel dhidi ya Wairani

    Baqaei: Mauaji ya umati ya Minab ni mfano mmoja tu wa jinai za Marekani na Israel dhidi ya Wairani

    Jun 07, 2026 11:16

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ameeleza kuwa mauaji ya Minab ni kati ya mamia ya jinai za Marekani na Israel dhidi ya Wairani.

  • Iran yakemea vikali tishio la Marekani la kuiwekea Oman vikwazo

    Iran yakemea vikali tishio la Marekani la kuiwekea Oman vikwazo

    May 30, 2026 04:50

    Iran yakemea vikali tishio la Marekani la kuiwekea Oman vikwazo

  • Baqaei: Marekani imefanya uhalifu wa kivita kwa kujaribu nguvu ya kombora lilitumika kwa mara ya kwanza kuua watu Lamerd, Iran

    Baqaei: Marekani imefanya uhalifu wa kivita kwa kujaribu nguvu ya kombora lilitumika kwa mara ya kwanza kuua watu Lamerd, Iran

    May 26, 2026 11:14

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Marekani ilitumia kwa mara ya kwanza kombora la PrMS katika shambulio lake kwenye eneo la makazi ya raia na uwanja wa michezo wa Lamerd katika Mkoa wa Fars kusini mwa Iran, kwa lengo la kujaribu nguvu za uharibifu za silaha hiyo."

  • Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu

    Marekani na Uingereza; madai ya uongo kuhusu haki za binadamu

    Nov 11, 2025 23:01

    Ripoti kuhusu ukiukaji wa haki za binadamu nchini Marekani na Uingereza zimechapishwa na Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran.

  • Iran yalaani hatua ya Wazayuni, yaonya juu ya kuangamizwa kabisa Palestina

    Iran yalaani hatua ya Wazayuni, yaonya juu ya kuangamizwa kabisa Palestina

    Jul 24, 2025 23:50

    Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran imelaani hatua ya Bunge la utawala wa Kizayuni wa Israel, Knesset, ya kuidhinisha muswada unaoweka udhibiti wa utawala huo ghasibu katika Ukingo wa Magharibi na Bonde la Jordan.

  • China yaapa 'kupambana hadi mwisho' dhidi ya ushuru wa Trump

    China yaapa 'kupambana hadi mwisho' dhidi ya ushuru wa Trump

    Apr 08, 2025 06:15

    Wizara ya Biashara ya China imeionya Marekani dhidi ya kuingia katika msururu wa vikwazo vya kibiashara vya 'kujibishana mapigo' baada ya rais wa nchi hiyo Donald Trump kutishia kuweka ushuru wa ziada kwa bidhaa za China zinazoingizwa nchini Marekani.

  • Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kuhusu ukiukwaji wa haki za binadamu uliofanywa na Marekani na Uingereza

    Dec 16, 2024 03:22

    Kwa mujibu wa ripoti ya kila mwaka ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuhusiana na ukiukwaji wa haki za binadamu unaofanywa Marekani na Uingereza, ripoti ambayo imeandaliwa kwa kutelekeza mswada uliopitishwa na Bunge la Iran mwaka 1391 Hijria Shamsia,

  • Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya " Siku ya Muqawama wa Kiislamu"

    Aug 14, 2024 03:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kupongeza kuadhimishwa "Siku ya Muqawama wa Kiislamu."

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS