-
Umoja wa Mataifa 'washtushwa' na mauaji ya waandamanaji Kenya
Jul 08, 2025 14:20Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi mkubwa juu ya vifo vya watu zaidi ya 10 nchini Kenya, ambapo polisi na waandamanaji walikabiliana wakati wa maandamano ya kupinga sera za serikali ya nchi hiyo Jumatatu.
-
WFP yadondosha misaada Sudan Kusini kutokea angani kutokana na mapigano
Jul 07, 2025 16:38Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakula Duniani, (WFP) limeanza kudondosha misaada ya dharura ya chakula kwa njia ya anga kwa maelfu ya familia katika Jimbo la Upper Nile nchini Sudan Kusini, ambako mapigano yaliyopamba moto tangu mwezi Machi mwaka huu yamewafanya watu walazimike kuhama makazi yao na kukaribia kuzitumbukiza baadhi ya jamii kwenye njaa ya kupindukia.
-
Araqchi akosoa kimya cha Baraza la Usalama kuhusu mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran
Jul 01, 2025 12:31Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kimya cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA) kuhusu mashambulizi ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran.
-
UN: Israel iruhusu kuingia Gaza mahitaji ya dharura kwa ajili ya watu wa eneo hilo
Jul 01, 2025 12:28Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa Israel inapasa kurahisisha na kuruhusu kuingia Gaza mahitaji ya dharura kwa ajili ya watu wa eneo hilo kupitia vivuko vilivyopo ili misaada ya haraka iwafikie wakazi wa ukanda huo.
-
Je, kwa nini Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa halikulaani Israel?
Jun 16, 2025 07:21Kikao cha dharura cha Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kilichofanyika kwa ombi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kufuatia mashambulizi ya kijeshi ya utawala wa Israel dhidi ya Iran, kwa mara nyingine tena kimefichua siasa za kundumakuwili za kimataifa na mapungufu makubwa yaliyoko katika muundo wa Baraza la Usalama.
-
Kamisheni ya UN: Israel inafanya mauaji ya kimbari Gaza
Jun 11, 2025 07:19Tume huru ya Umoja wa Mataifa imeutuhumu utawala wa Israel kwa kufanya mauaji ya halaiki kwa kuwashambulia raia wa Kipalestina wanaohifadhiwa katika shule na maeneo ya kidini huko Gaza.
-
UN: Tumesikitishwa mno na vikwazo vya US dhidi ya majaji wa ICC
Jun 07, 2025 06:59Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Umoja wa Mataifa, Volker Turk amesema "amesikitishwa sana" na vikwazo vya serikali ya Marekani dhidi ya majaji wanne wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC).
-
Gazeti la Israel: Trump anaweza wikiendi hii akatangaza makubaliano ya kumaliza vita Ghaza
May 09, 2025 07:18Rais wa Marekani Donald Trump huenda wikiendi hii akatangaza rasimu ya makubaliano ambayo yatamaliza vita vilivyoanzishwa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Ukanda wa Ghaza. Hayo yameripotiwa na gazeti la Kizayuni la Israel Hayom.
-
UN yatuma salamu za pole na rambirambi kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko wa Bandar Abbas
Apr 27, 2025 07:43Umoja wa Mataifa umetuma salamu za pole kwa wananchi na serikali ya Iran kufuatia mripuko mkubwa uliotokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran jana Jumamosi.
-
Kuendelea jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza mbele ya kimya cha wanaodai kutetea haki za binadamu
Apr 24, 2025 10:09Umoja wa Mataifa umesema kukwa umekumbwa na wasiwasi mkubwa kuhusu hali ya kibinadamu katika Ukanda wa Ghaza na kutahadharisha kuwa eneo hilo linapitia katika hali ngumu sana tangu kuanza vita dhidi ya ukanda huo.