-
Msimamo wa karibuni wa Malaysia kuhusiana na utawala wa kizayuni na jinai unazofanya Ghaza
Sep 01, 2025 07:24Malaysia imeitaka Jamii ya Kimataifa isimamishe uwanachama wa utawala wa Kizayuni wa Israel katika Umoja wa Mataifa na kuuwekea vikwazo vikali utawala huo ghasibu.
-
Uchunguzi: Akthari ya Waisrael wanaamini hakuna Mpalestina yeyote Ghaza 'asiye na hatia'
Aug 28, 2025 06:07Uchunguzi wa maoni uliofanywa na shirika moja katika utawala wa kizayuni wa Israel umefichua kuwa idadi kubwa ya Wayahudi wa Israel wanaamini kwamba hakuna watu wasio na hatia katika Ukanda wa Ghaza.
-
Nini uchambuzi wa Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki kuhusu lengo la utawala wa Kizayuni huko Gaza?
Jul 27, 2025 10:17Hakan Fidan Waziri wa Mambo ya Nje wa Uturuki ametahadharisha kuhusu nia ya utawala wa Kizayuni ya kuwaondoa wakaazi wa Gaza kutoka katika ukanda huo.
-
Nini lengo la Umoja wa Ulaya katika kuzidisha vikwazo dhidi ya Iran?
Jul 17, 2025 02:35Umoja wa Ulaya, ukifuata nyayo za Marekani, umeendeleza siasa za kuzidisha mashinikizo dhidi ya Iran katika nyanja mbalimbali katika muhula wa pili wa uongozi wa Donald Trump kwa shabaha ya kuilazimisha Tehran isalimu amri mbele ya matakwa ya kupindukia mipaka ya nchi za Magharibi.
-
Jibu thabiti la Araghchi kwa msimamo wa kimihemko wa Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya
Jul 05, 2025 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Sayyid Abbas Araghchi ametoa jibu thabiti kwa kauli ya hivi majuzi ya Kaja Kallas, Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya, kwamba mazungumzo yoyote yale yatakayofanyika, lengo lake liwe ni "kufuta moja kwa moja mpango wa nyuklia wa Iran".
-
Araqchi: Vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kukabiliana na uchokozi wowote wa utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake
Jul 03, 2025 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa vikosi vya ulinzi vya Iran viko tayari kabisa kukabiliana kwa nguvu zake zote na chokochoko za aina yoyote za utawala wa Kizayuni na pande zinazouunga mkono utawala huo.
-
Araqchi: Tunachotegemea kwa Ulaya ni kulaani mashambulizi ya Israel
Jun 14, 2025 02:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa: Serikali na wananchi wa Iran wanataraji kuiona jamii ya kimataifa hususan Umoja wa Ulaya unalaani shambulio hilo la kijinai la Israel dhidi ya nchi yao.
-
Majibu ya Tehran kwa Shutuma za Uongo za Ufaransa Kuhusu Mpango wa Nyuklia wa Amani wa Iran
May 01, 2025 02:18Mwakilishi wa kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa, Amir Saeed Iravani, amewatumia barua Rais wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, akielezea kuwa madai ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa kwamba Iran iko "katika hatua ya mwisho" ya kuzalisha silaha za nyuklia ni yasiyo na msingi na kisiasa ni hatua isiyo ya uwajibikaji. Iran haijawahi kuwa na nia ya kutafuta silaha za nyuklia na haijabadilisha sera yake ya ulinzi.
-
Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani
Mar 17, 2025 10:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.
-
Misaada ya kijeshi na silaha ambayo haijawahi kutolewa mfano wake ya serikali ya Trump kwa utawala wa Kizayuni wa Israel
Mar 04, 2025 02:58Sambamba na Marekani kukata misaada yake kwa Ukraine, Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Marco Rubio, siku ya Jumapili alitumia mamlaka ya dharura aliyonayo kisheria kupitisha mpango wa utoaji msaada wa shehena ya silaha zenye thamani ya dola bilioni 4 kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.