-
Wanajeshi wa Somalia waliokula njama na Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao wanyongwa
Aug 12, 2025 03:27Wanajeshi wawili wa Somalia waliohukumiwa adhabu ya kifo kwa kula njama na kundi la kigaidi la Al Shabab ya kumuua kamanda wa kikosi chao walitekelezewa hukumu yao jana Jumatatu. Hayo ni kwa mujibu wa Mwendesha Mashtaka wa mahakama ya kijeshi ya nchi hiyo.
-
Waasi wa M23 wakanusha maadai ya kuwauwa raia katika jimbo la Kivu Kusini
Aug 11, 2025 23:07Kundi la waasi wa M23 wanaodhibiti maeneo ya mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo wamekanusha madai ya kuwauwa raia katika jimbo la Kivu Kusini pamoja na madai ya kuajiri askari watoto.
-
Katika muda wa juma moja, watu 63 wameaga dunia kwa lisheduni mjini El-Fasher, Sudan
Aug 11, 2025 07:19Watu wasiopungua 63, wengi wao wakiwa wanawake na watoto wamefariki dunia kutokana na upungufu wa lishe katika mji uliozingirwa wa El-Fasher, makao makuu ya jimbo la Darfur Kaskazini nchini Sudan.
-
Uganda na Sudan Kusini kuchunguza chanzo cha mapigano ya mpakani yaliyoua askari sita
Aug 11, 2025 07:18Serikali za Uganda na Sudan Kusini zimekubaliana kufanya uchunguzi wa pamoja kubaini chanzo cha mapigano yaliyozuka hivi karibuni kwenye mpaka wao wa pamoja na kupelekea askari sita wa pande mbili kuuawa.
-
WHO: Ugonjwa wa malale si tatizo tena la afya ya umma Kenya
Aug 10, 2025 07:11Kenya imefanikiwa kutokomeza rasmi ugonjwa wa malale ambao ulionekana kama tatizo la afya ya umma.
-
Afrika Kusini yasisitiza tena msimamo wake kuhusu mauaji ya kimbari ya Israel, Gaza
Aug 10, 2025 05:52Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini kwa mara nyingine tena amesisitiza kuhusu msimamo wa nchi hiyo katika faili la kesi ya mauaji ya kimbari ya utawala wa Kizayuni huko Gaza na kusema: Afrika Kusini inaitaka Israel isimamishe vita haraka iwezekanavyo huko Gaza, iruhusu misaada ya kibinadamu kuingia katika eneo hilo, iache kulikalia kwa mabavu eneo hilo na iache kuiaadhibu jamii ya Wapalestina.
-
Afisa wa UN: Senti 55 pekee zinahitajika kwa siku kusaidia mtu mmoja huko Sudan
Aug 09, 2025 10:10Umoja wa Mataifa umesema kuwa unahitaji senti 55 tu kwa siku ili kumsaidia kila mtu anayehitaji msaada huko Sudan ambako mamilioni ya watu wanakabiliwa na hali mbaya ya huku vita vikiendelea nchini humo.
-
Serikali ya DRC na waasi M23 walaumiana baada ya mazungumzo ya amani kukwama
Aug 09, 2025 05:47Mazungumzo kati ya serikali ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na waasi wa AFC/M23 yameahirishwa kwa muda usiojulikana. Mazungumzo haya yalitarajiwa kuendelea tena jana Ijumaa mjini Doha, Qatar.
-
Kenya yapuuzilia mbali vitisho vya US kwa sababu ya uhusiano wake wa kibiashara na Iran na Russia
Aug 09, 2025 03:28Serikali ya Kenya, kupitia Mkuu wa Mawaziri, ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Nje wa nchi hiyo Musalia Mudavadi imepuuza tishio kwamba Marekani huenda ikaifutia hadhi maalumu ya uhusiano na kusisitiza kuwa, ina haki ya kufanya biashara na nchi tofauti duniani.
-
Serikali ya Chad yaomba waziri mkuu wa zamani apewe adhabu ya kifungo cha miaka 25 jela
Aug 09, 2025 03:27Serikali ya Chad imeiomba mahakama impe adhabu ya kifungo cha muda mrefu jela waziri mkuu wa zamani Succes Masra ambaye anakabiliwa na mashtaka yanayohusiana namachafuko mabaya yaliyozuka kusini mwa nchi hiyo mwezi Mei mwaka huu na kusababisha vifo vya makumi ya watu.