-
Ufaransa yaharakisha kurejesha turathi za kale za nchi za Kiafrika bila ya kuidhinishwa na Bunge
Aug 06, 2025 00:25Serikali ya Ufaransa inafanya jitihada za kuharakisha kurejesha turathi za kale za nchi za Kiafrika katika nchi ilizozikoloni.
-
Senegal yatekeleza sera za jino kwa jino katika utoaji wa e-visa kwa wageni
Aug 06, 2025 00:24Waziri Mkuu wa Senegal, Ousmane Sonko, ametangaza kuzindua mfumo wa visa ya kielektroniki kwa raia wa nchi zinazoweka viza ya kuingia kwa raia wa Senegal, hatua inayolenga kuimarisha mamlaka ya kitaifa na kurejesha usawa katika uhusiano wa kimataifa.
-
UNICEF: Watoto Sudan wanakaribia katika ukingo wa madhara yasiyoweza kurekebishwa
Aug 05, 2025 11:11Kusimamishwa kwa ufadhili wa kimataifa wa fedha kunakisukuma kizazi chote cha watoto wa Sudan katika ukingo wa madhara yasiyoweza kurekebishwa huku idadi ya watoto walioathiriwa na utapiamlo nchini humo ikiongezeka. Haya ni kwa mujibu wa ripoti ya UNICEF.
-
Uganda inawahifadhi wakimbizi karibu milioni mbili
Aug 05, 2025 11:04Uganda inakaribia kuwa na wakimbizi milioni 2 huku machafuko yakiongezeka huko Sudan, Sudan Kusini na Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambapo mamia ya watu wanalazimika kuvuka mpaka kila siku na kuingia Uganda wakikimbia mapigano.
-
Afrika yaanza kutengeneza dawa za kukabiliana na UKIMWI
Aug 05, 2025 04:17Nchi za Afrika zilizoko kusini mwa jangwa la Sahara zimepiga hatua muhimu kuelekea kujitegemea zaidi katika masuala ya afya kupitia hatua ya hivi karibuni zaidi ya kutengeneza dawa za kukabiliana na Virusi Vya Ukimwi, (VVU).
-
Mamia waandamana Tunis kuwaunga mkono Wapalestina wanaokabiliwa na njaa Gaza
Aug 04, 2025 23:17Mamia ya wananchi wa Tunisia jana Jumatatu walifanya maandamano katika mitaa mbalimbali ya mji mkuu wa nchi hiyo Tunis kuonyesha mshikamano mkubwa na wananchi wa Palestina kutokana na hali mbaya ya kibinadamu inayoendelea Gaza.
-
Njaa yaongezeka katika mji wa al Fashir, Sudan
Aug 04, 2025 23:13Mamia ya maelfu ya watu waliozingirwa na jeshi la Sudan katika mji wa al Fashir katika jimbo la Darfur wanaishiwa na chakula huku wakikabiliwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya droni na makombora.
-
Operesheni ya pamoja ya AUSSOM na jeshi la Somalia yaangamiza zaidi ya magaidi 50 wa Al Shabab
Aug 04, 2025 07:32Vikosi vya Umoja wa Afrika vya Usaidizi na Kuleta Uthabiti nchini Somalia vimetangaza kuwa, zaidi ya magaidi 50 wa kundi la Al Shabab wameuawa katika operesheni ya pamoja iliyotekelezwa na vikosi hivyo na jeshi la Somalia (SNAF) katika mji wa Bariire, huko Lower Shabelle.
-
Baada ya vifo vya watu 80, waliofariki dunia kwa kipindupindu nchini Sudan wapindukia 2,370
Aug 04, 2025 06:02Shirika la Kuhudumia Watoto la Umoja wa Mataifa (UNICEF) limetangaza kuwa, watu 80 wamefariki dunia kutokana na ugonjwa wa kipindupindu na zaidi ya maambukizi mapya 2,100 yamerekodiwa katika majimbo matano ya Darfur, nchini Sudan hadi kufikia Julai 30.
-
Maelfu ya Wamorocco waandaamana kupinga kutia nanga meli za Israel
Aug 04, 2025 04:07Maelfu ya wananchi wa Morocco wamefanya maandamano katika bandari kubwa zaidi ya nchi hiyo huko Tanger Med kaskazini mwa nchi hiyo kupinga kutia nanga meli zilizobeba silaha za Israel.