-
Ripoti: Wanawake walidhulumiwa wakati na baada ya vita vya Tigray
Aug 03, 2025 23:04Unyanyasaji wa kingono na mateso kwa kina mama na wasichana kupewa mimba za kulazimishwa yalifanyika wakati na baada ya vita katika eneo la Tigray nchini Ethiopia.
-
Mwanazuoni wa Nigeria: Mkakati wa Iran ndio njia pekee ya kukomesha ugaidi wa Israel
Aug 03, 2025 23:03Mkuu wa Baraza la Maulamaa wa Nigeria, Sheikh Dan'azumi Musa Tafawa Balewa, ametoa wito kwa mataifa ya Kiislamu na jamii ya kimataifa kwa ujumla kufuata njia ya muqawama ya Iran kama njia pekee yenye ufanisi ya kukomesha "ugaidi wa kinyama" wa Israel dhidi ya Wapalestina.
-
DRC na Rwanda kuanzisha ushirikiano wa madini na kiuchumi
Aug 03, 2025 09:06Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na Rwanda zimefikia makubaliano ya kuwa na ushirikiano wa kiuchumi wakati wa mazungumzo yao ya kwanza tangu kutia saini mkataba wa amani.
-
Kambi za Afrika mashariki na kusini zaunganisha juhudi zao kwa ajili ya amani DRC
Aug 02, 2025 22:56Viongozi wa kambi mbili za kanda za Afrika Mashariki na Kusini wamekubaliana kuunganisha michakato ya amani nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) na Umoja wa Afrika (AU) ili kuondoa tofauti na kupata matokeo athirifu zaidi.
-
Misri yamkatalia Trump, hakuna upendeleo kwa meli za US kupita Mfereji wa Suez bila kulipia
Aug 02, 2025 09:09Afisa mmoja wa Misri amejibu ombi la Rais wa Marekani la kutaka meli za nchi hiyo zipite kwenye Mfereji wa Suez bila kutoa malipo yoyote.
-
Makumi ya watu wameuawa katika shambulizi la wanamgambo wenye silaha, Burkina Faso
Aug 02, 2025 03:27Makumi ya wanajeshi na raia wameuawa katika mashambulizi mawili yaliyofanyika kaskazini mashariki mwa Burkina Faso mapema wiki hii ambayo yalitekelezwa na wanamgambo wenye silaha.
-
Kiongozi wa Ennahda Tunisia aanza mgomo wa kula akiwa gerezani kuonyesha mshikamano na watu wa Gaza
Aug 02, 2025 03:27Rachid Ghannouchi, kiongozi wa harakati ya Ennahda na spika wa zamani wa Baraza la Wawakilishi la Tunisia, ameanza mgomo wa kula gerezani akitangaza mshikamano wake na watu wa Ukanda wa Gaza.
-
Mfumuko wa bei Kenya waongezeka kwa asilimia 4.1, wachambuzi waonya
Aug 02, 2025 02:55Mfumuko wa bei nchini Kenya umeongezeka hadi asilimia 4.1 mwezi Julai, kiwango cha juu zaidi katika miezi mitatu, kutokana na kupanda kwa bei ya vyakula, vinywaji visivyolewesha, usafiri, makazi na huduma za matumizi ya nyumbani.
-
Maandamano Angola: Umoja wa Mataifa watoa wito wa uchunguzi kuhusu vifo
Aug 01, 2025 23:10Umoja wa Mataifa umetoa wito kwa pande husika nchini Angola kujizuia na kufanyika uchunguzi wa haraka kuhusu uwezekano wa ukiukaji wa haki za binadamu unaofanywa na vikosi vya usalama.
-
UN yaonya juu ya ongezeko la vitisho vya ugaidi wa ISIS na Al-Qaida, haswa barani Afrika na Syria
Aug 01, 2025 10:00Ripoti mpya ya Umoja wa Mataifa iliyotolewa wiki hii imesema: Tishio la kundi la ISIS na al-Qaida linazidi kuongezeka hasa barani Afrika na Syria.