-
Ethiopia yazindua kampeni ya kupanda miti milioni 700 kwa siku moja
Aug 01, 2025 04:07Ethiopia imezindua kampeni ya ustawishaji wa mazingira ambayo haijawahi kushuhudiwa wakati mamilioni ya wananchi waliposhiriki jana Alkhamisi katika juhudi za kitaifa za kupanda miti milioni 700 kwa siku moja.
-
Kufuatia hatua ya TZ, EAC yazitolea mwito nchi wanachama ziheshimu mpango wa soko la pamoja
Aug 01, 2025 03:47Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) Veronica Nduva, amezitaka nchi wanachama za jumuiya hiyo kutekeleza mikataba yenye kuheshimu mpango wa soko la pamoja kwa ajili ya kufikia utangamano wa kikanda.
-
Umoja wa Mataifa: Raia 169 waliuawa na M23 mwezi Julai mashariki mwa DRC
Jul 31, 2025 23:17Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, watu 169 waliuawa mwanzoni mwa mwezi ulipita wa Julai kufuatia mashambulizi ya waasi wa M23 dhidi ya wakulima na raia huko mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
-
Bobi Wine: Mazingira ya kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu Uganda hayafai
Jul 31, 2025 23:16Kiongozi mkuu wa upinzani nchini Uganda Robert Kyagulanyi Ssntenamu, almaarufu kama Bobi Wine amesema kuwa, mazingira ya kisiasa nchini humo yamekuwa mabaya zaidi kuelekea uchaguzi mkuu uliopangwa kufanyika mapema mwaka ujao (2026).
-
WFP: Kupunguzwa misaada Nigeria kuwatumbukiza vijana mikononi mwa Boko Haram
Jul 31, 2025 23:16Imeelezwa kuwa, kupunguzwa misaada ya kibinadamu kaskazini-mashariki mwa Nigeria kunaweza kuwa faida kwa moja ya makundi hatari zaidi ya kigaidi ulimwenguni, Boko Haram.
-
Angola: 22 wameuawa katika ghasia za kupinga ongezeko la bei ya mafuta
Jul 31, 2025 04:04Waziri wa Mambo ya Ndani wa Angola ametangaza kuwa watu 22 wameaga dunia na zaidi ya 1,000 wamekamatwa kutokana na ghasia zilizosababishwa na maandamano ya kupinga ongezeko la bei ya mafuta. Watu wengine wasiopungua 197 wamejeruhiwa katika machafuko hayo.
-
Marais Ruto, Museveni waikosoa Tanzania kwa kuongeza vikwazo vya biashara
Jul 31, 2025 03:30Rais William Ruto wa Kenya na mwenzake wa Uganda, Yoweri Museveni wametangaza kwa pamoja kwamba vizingiti vya kibiashara kati ya nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC) vinaathiri maendeleo ya kiuchumi katika eneo hilo.
-
Umoja wa Afrika: Hatuitambui serikali sambamba ya Sudan
Jul 31, 2025 00:45Umoja wa Afrika umepinga vikali hatua ya kundi la wanamgambo RSF kutangaza serikali sambamba nchini Sudan, ukisema hatua hiyo inahatarisha umoja wa taifa na juhudi za amani.
-
Umoja wa Mataifa: Njaa duniani imepungua lakini bado hali ni mbaya Afrika
Jul 31, 2025 00:44Ripoti ya Umoja wa Mataifa imesema kuwa, kiwango cha njaa duniani kilipungua kidogo mwaka 2024, lakini bado watu zaidi ya milioni 7 wanakabiliwa na ukosefu wa chakula huku idadi kubwa ikishuhudiwa barani Afrika.
-
Mapigano ya mpakani kati ya Sudan Kusini na Uganda yasababisha vifo na majeruhi
Jul 30, 2025 09:15Mapigano yalizuka jana kati ya majeshi ya Uganda na Sudan Kusini katika jimbo la Central Equatoria na kusababisha vifo na kujeruhiwa watu kadhaa.