-
Jeshi la Sudan layateka tena makao makuu ya jimbo la Sinnar la katikati mwa nchi
Nov 24, 2024 03:55Serikali ya Sudan ilitangaza jana Jumamosi kuwa jeshi la nchi hiyo SAF limeuteka tena mji wa Singa ambao ni makao makuu ya mkoa wa Sinnar wa katikati mwa nchi hiyo ambao ulikuwa unadhibitiwa na Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF).
-
Kiongozi wa upinzani Msumbiji atangaza masharti ya kufanya mazungumzo
Nov 23, 2024 22:58Kiongozi wa upinzani Msumbiji amesema atakubali mwito wa rais wa mazungumzo baada ya ghasia kali za baada ya uchaguzi kwa masharti ikiwemo yafanyike kwa njia ya mtandao na mchakato wa kisheria dhidi yake usitishwe.
-
Watu wanne wameuawa katika jaribio la kumkamata mkuu wa zamani wa usalama Sudan Kusini
Nov 23, 2024 07:50Takriban watu wanne, wakiwemo raia wawili, wameuawa kwa kupigwa risasi katika makazi ya mkuu wa zamani wa Shirika la Ujasusi la Sudani Kusini Jenerali Akol Koor Kuc katika mji mkuu wa Juba, Sudan Kusini.
-
Maelfu ya Watunisia wakaribisha kutolewa hati ya kukamatwa Netanyahu
Nov 23, 2024 04:26Maelfu ya wananchi wa Tunisia wamefanya maandamano katika mji mkuu wa nchi hiyo wakipongeza na kukaribisha kutolewa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi wa utawala huo Yoav Gallant.
-
Jeshi la Polisi Tanzania lamtia mbaroni kiongozi maarufu wa upinzani
Nov 23, 2024 03:09Freeman Mbowe, Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na mmoja wa viongozi mashuhuri wa upinzani nchini Tanzania amekamatwa na jeshi la Polisi.
-
UN: Wanawake wa Afrika wanatumia masaa milioni 200 kila siku kuteka maji
Nov 22, 2024 23:56Wanawake katika nchi za Afrika zilizo kusini mwa Jangwa la Sahara, wanatumia masaa milioni 200 kila siku kwa ajili ya kuteka maji.
-
Ethiopia kuiuzia Tanzania umeme kupitia Kenya
Nov 22, 2024 23:37Ethiopia inapanga kusafirisha takriban megawati 100 za umeme kwa Tanzania kupitia Kenya, ikiwa ni hatua muhimu ya ushirikiano wa nchi za eneo hilo katika masuala ya maendeleo.
-
Afrika Kusini yaipongeza ICC kwa kutoa waranti wa kukamatwa Netanyahu na Gallant
Nov 22, 2024 08:07Serikali ya Afrika Kusini imepongeza hatua ya Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) ya kutoa hati ya kukamatwa Waziri Mkuu wa wa utawala haramu wa Israel Benjamin Netanyahu,pamoja na aliyekuwa Waziri wa Ulinzi Yoav Gallant.
-
Chama tawala Senegal chaibuka mshindi katika uchaguzi wa Bunge
Nov 22, 2024 08:06Chama tawala nchini Senegal, PASTEF, kimeshinda karibu robo tatu ya viti vya Bunge katika uchaguzi uliofanyika wikendi iliyopita, matokeo yanayomaanisha kuwa sasa sera za Serikali mpya zitapitishwa kirahisi.
-
Mapigano mapya yazuka katika mji mkuu wa Sudan Kusini
Nov 22, 2024 07:14Mapigano makali ya bunduki yamezuka, katika mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, baada ya vikosi vya usalama kwenda kumkamata mkuu wa idara ya ujasusi.