-
Polisi Afrika Kusini wavamia maghala ya chakula kusaka bidhaa zilizokwisha muda wake
Nov 21, 2024 23:02Polisi wa Afrika Kusini wamegundua vyakula vinavyoshukiwa kuisha muda wake wakati walipovamia maghala kadhaa ya chakula mjini Durban.
-
Utawala wa kijeshi Mali wamteua waziri mkuu mpya baada ya kumtimua Maiga
Nov 21, 2024 23:01Baraza la utawala wa kijeshi la Mali jana Alkhamisi lilimteua msemaji wake, Abdoulaye Maiga, kuwa waziri mkuu siku moja baada ya kumfukuza kazi Choguel Maiga ambaye alikosoa utawala huo kwa kuahirisha uchaguzi wa kidemokrasia na kurejesha utaratibu wa Katiba.
-
Rais Ruto: Maandamano ya mwezi Juni yalijaa uhuni
Nov 21, 2024 09:40Rais William Ruto wa Kenya ameonekana kutetea mienendo ya maafisa wa polisi waliodaiwa kuhangaisha waandamanaji mwezi Juni 2024, wakati wa maandamano dhidi ya serikali yake.
-
Wapiganaji wa RSF washambulia kijiji na kuua watu 42 katikati mwa Sudan
Nov 21, 2024 04:17Watu wasiopungua 42 wameuawa katika shambulizi lililofanywa na wapiganaji wa Kikosi cha Msaada wa Haraka (RSF) katika kijiji cha Wad Oshaib katika jimbo la kati la al Jazira nchini Sudan.
-
Upinzani Kongo wataka kuchukuliwa hatua kuzuia mabadiliko ya katiba
Nov 21, 2024 04:09Vyama vya upinzani nchini Jamhuri ya Kidmemokrasia ya Kongo vimewatolea wito wananchi kupinga mipango tarajiwa inayoandaliwa na Rais Felix Tshisekedi wa nchi hiyo ya kubadilisha katiba.
-
ICC yamhukumu miaka 10 jela mhalifu wa kivita kwa ukatili huko Mali
Nov 21, 2024 04:07Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imemhukumu kifungo cha miaka kumi jela mkuu wa polisi muasi kwa jinai za kivita na dhidi ya binadamu.
-
Utawala wa Kizayuni waendelea kukodolea macho ya tamaa ardhi ya Somalia
Nov 21, 2024 00:17Utawala wa Kizayuni wa Israel unaendeleza njama zake za kutaka kuwa na kituo cha kijeshi kaskazini mwa Somalia, kupitia eneo lililojitangazia uhuru wake la Somaliland, suala ambalo linaleta uwezekano mkubwa wa kuongezeka hatari za kiusalama baina ya nchi za ukanda huo.
-
Msumbiji: Upinzani watoa wito kuomboleza vifo vya watu 50
Nov 21, 2024 00:15Kiongozi wa upinzani nchini Msumbiji Venancio Mondlane ametoa wito wa kufanyika siku tatu za maombolezo kuanzia jana Jumatano kutokana na vifo vya watu 50 aliosema waliuawa katika ghasia za baada ya uchaguzi wa Oktoba 9.
-
Kenya yakana kuhusika na kutekwa nyara Kizza Besigye
Nov 20, 2024 08:51Serikali ya Kenya imekana kuhusika na madai ya kutekwa nyara kiongozi wa upinzani nchini Uganda, Kizza Besigye.
-
Wanajeshi wasiopungua 12 wa Nigeria wauawa katika hujuma ya Boko Haram
Nov 20, 2024 08:37Wanajeshi zaidi ya 12 wa Nigeria waliuliwa jana Jumanne katika mashambulizi kadhaa ya kundi la kigaidi la Boko Haram dhidi ya kambi ya jeshi katika jimbo la Borno kaskazini mwa nchi hiyo.