-
Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa Waziri Mkuu mpya wa Tanzania
Nov 13, 2025 02:52Rais Samia Suluhu Hassan leo amewasilisha bungeni jina la Dkt. Mwigulu Nchemba kuwa Waziri Mkuu mpya wa serikali ya awamu ya sita ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
-
Umoja wa Mataifa wataka uchunguzi kwa mauaji Tanzania
Nov 12, 2025 23:06Umoja wa Mataifa umetowa wito wa kufanyika uchunguzi kwa kile kinachodaiwa kuwa vifo vya mamia ya watu katika machafuko ya kupinga uchaguzi nchini Tanzania.
-
Museveni aonya: Vita vitatokea Afrika ikiwa nchi zisizo na bandari zitashindwa kufikia Bahari ya Hindi
Nov 12, 2025 08:08Katika kauli iliyotafsiriwa kama onyo lililolenga nchi jirani, Rais Yoweri Museveni wa Uganda ameonya kuhusu uwezekano wa kutokea vita katika siku zijazo endapo nchi za Afrika ambazo hazina bandari zitaendelea kunyimwa haki ya kufikia Bahari ya Hindi.
-
Shirika la Umoja wa Mataifa: Kuna Ushahidi wa matumizi ya kimfumo ya ubakaji nchini Sudan
Nov 12, 2025 04:09Shirika la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya Wanawake limeonya kwamba kuna "ushahidi unaoongezeka kwamba ubakaji unatumika kwa makusudi na kwa utaratibu maalumu" nchini Sudan, huku njaa na ukosefu wa usalama wa chakula vikiendelea kutesa watu nchini humo.
-
Mfuasi wa zamani wa Mchungaji Mackenzie: Nilitoa tahadhari kuhusu mauaji ya Shakahola, sikusikilizwa
Nov 12, 2025 04:03Aliyekuwa mfuasi wa Mchungaji Paul Mackenzie, kiongozi wa Kanisa la Good News International (GNI) amefichua jinsi alivyotoa onya kuhusu mauaji ya Shakahola lakini hakusiikilizwa na vyombo husika.
-
Ethiopia kuwa mwenyeji wa Mkutano wa Umoja wa Mataifa wa Mabadiliko ya Tabianchi 2027
Nov 11, 2025 23:41Ethiopia imeishinda Nigeria na hivyo kutangazwa kuwa nchi mwenyeji wa mkutano wa Umoja wa Mataifa wa mabadiliko ya Tabianchi uliopangwa kufanyika mwaka 2027.
-
Zaidi ya asilimia 70 ya Wasudan wanaishi chini ya kiwango cha umaskini
Nov 11, 2025 23:01Umaskini nchini Sudan umeongezeka zaidi ya mara tatu tangu kuanza kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe mnamo Aprili 2023. Hayo ni kwa mujibu wa Waziri wa Ustawi wa Jamii, Mutasim Ahmed Saleh.
-
Rais wa Niger: Ufaransa inatekeleza njama za kuvuruga nchi yake
Nov 11, 2025 23:01Rais wa Niger, Abdourahamane Tchiani, ameishutumu vikali Ufaransa kwa kuhusika katika njama za kuichafua na kuidhoofisha nchi yake.
-
UN yazindua jukwaa la kidijitali ili kuongeza ushiriki wa vijana katika mazungumzo Libya
Nov 11, 2025 07:21Shirika la Misaada la Umoja wa Mataifa nchini Libya (UNSMIL) limezindua jukwaa la kidijitali kwa vijana wa Libya, kwa shabaha ya kuimarisha ushiriki wao katika mchakato wa mazungumzo ya kisiasa uliopangwa kufanyika nchini humo siku zijazo.
-
Wahamiaji wanaorejea Guinea waelezea magumu wanayokabiliana nayo
Nov 11, 2025 07:20Maelfu ya raia wa nchi za Afrika wamerejea katika nchi zao kwa msaada wa mpango wa hiari wa Shirika la Kimataifa la Uhamiaji la Umoja wa Mataifa IOM na kuelezea matatizo makubwa waliyokumbana nayo wakiwa katika ukimbizi.