-
Wasichotaka mkijue; Sudan, nchi ya dhahabu iliyonaswa na wafanyanjama wa kimataifa
Nov 05, 2025 02:34Sudan, ambayo kwa sasa imetumbukia katika kinamasi cha vita vya wenyewe kwa wenyewe, ni nchi yenye nguvu na uwezo mwingi.
-
Waislamu na Wakristo wa Nigeria wapinga vitisho vya Trump
Nov 04, 2025 23:41Waislamu na Wakristo wa Nigeria wamesisitiza kuishi pamoja kwa amani na maelewano na kusema kuwa vitisho vya Rais wa Marekani dhidi ya nchi hiyo havikubaliki.
-
Mjumbe wa UN kuhusu elimu: Watoto milioni 14 nchini Sudan hawaendi shuleni
Nov 04, 2025 23:35Nesmy Manigat, Mwakilishi Mkuu wa Ushirikiano wa Kimataifa kwa Ajili ya Elimu, amesema kwamba Sudan inakabiliwa na "mojawapo ya hali mbaya zaidi duniani," akieleza kuwa takriban watoto milioni 14 hawaendi shuleni, katika mgogoro mkubwa zaidi wa aina yake katika Mashariki ya Kati na Afrika Kaskazini.
-
Mapitio ya jinai za Magharibi; jinai za Marekani nchini Somalia
Nov 04, 2025 23:06Marekani imefanya mashambulizi ya anga na operesheni za kijeshi nchini Somalia, na kusababisha vifo vingi vya raia, na akthari ya hatua hizo zimekuwa zikikosolewa na makundi ya kutetea haki za binadamu. Idadi halisi ya vifo inaweza kuwa kubwa zaidi kuliko ile iliyotangazwa na Pentagon.
-
Guterres: Uhalifu wa kivita nchini Sudan hauwezi kupita hivihivi bila kuadhibiwa
Nov 04, 2025 07:47Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, ametoa wito kwa jamii ya kimataifa kuchukua hatua za haraka ili kusimamisha mapigano nchini Sudan, akisisitiza kwamba moja ya masharti muhimu ya kukomesha vita ni kuzuia silaha mpya kuingia nchini humo, na kusisitiza kwamba kuendelea mtiririko wa silaha kunarefusha mzozo na kuzidisha mateso ya raia.
-
Kwa uchache watu 20 wameuawa katika mashambulizi ya droni ya RSF nchini Sudan
Nov 04, 2025 03:28Watu wasiopungua 20 wameuawa na wengine 34 kujeruhiwa jana Jumatatu katika mashambulizi mawili tofauti ya droni na ndege zisizo na rubani na Vikosi cha Usaidizi wa Haraka cha Kijeshi (RSF) huko katikati na magharibi mwa Sudan.
-
Mahakama ya ICC: Matukio ya El-Fasher yanaweza kuainishwa kama uhalifu wa kivita na uhalifu dhidi ya binadamu
Nov 03, 2025 22:53Ofisi ya Mwendesha Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC) imetoa tamko juu ya wasiwasi mkubwa uliozuka kufuatia ripoti mpya kutoka El-Fasher, jimboni Darfur Kaskazini, nchini Sudan, zikielezea kufanyika mauaji ya halaiki, ubakaji, na uhalifu mwingine unaodaiwa kufanywa wakati wa mashambulizi ya Vikosi vya Usaidizi wa Haraka (RSF).
-
Mama Samia aapishwa kwa muhula mwingine wa urais
Nov 03, 2025 08:05Dkt. Samia Suluhu Hassan wa Tanzania ameapishwa leo Jumatatu kuiongoza nchi hiyo kwa muhula mpya wa miaka mitano. Rais Samia ameapishwa baada ya uchaguzi uliogubikwa na vurugu.
-
Mapigano ya jeshi na wanamgambo RSF yaendelea huku walimwengu wakishindwa kuzipatanisha pande hasimu
Nov 03, 2025 06:38Vita haribu na angamizi vya Sudan viinaendelea huku jamii ya kimataifa ikioonekana kushindwa kuupatia ufumbuzi mgogoro huo wa ndani.
-
Jeshi la Uganda lazima mashambulizi ya waasi magharibi mwa nchi
Nov 03, 2025 03:03Jeshi la Uganda UPDF limetangaza kuwa, limefanikiwa kuzima mlolongo wa mashambulizi yaliyoratibiwa vyema na vikundi vyenye silaha ambavyo vilishambulia vituo vya kijeshi na polisi katika maeneo ya magharibi ya nchi hiyo.