-
Araqchi: Afisa wa IAEA Tehran, lakini hakuna mpango wa kukaguliwa maeneo ya nyuklia
Aug 11, 2025 05:37Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatarajiwa kufanya ziara hapa Tehran kwa mazungumzo, lakini kutembelea taasisi za nyuklia si sehemu ya ajenda ya safari hiyo.
-
Iran yazindua kliniki 9 kote nchini za kutibu majeraha kwa kutumia plasma
Aug 11, 2025 05:35Mohammad Eslami, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuzinduliwa kliniki tisa maalumu kote nchini zinazotumia plasma kutibu majeraha.
-
Rais wa Iran: Tunakaribisha ustawishaji mahusiano ya kujenga na nchi zote duniani
Aug 10, 2025 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linakaribisha mahusiano na ushirikiano na mataifa yote ya dunia.
-
Rais Pezeshkian: Utawala wa Kizayuni na washirika wake hawana dini, utu wala uhuru
Aug 10, 2025 07:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake hawana dini, hawana utu wala uhuru, na wanafanya jinai hiyo hiyo dhidi ya watoto madhulumu wa Gaza.
-
Velayati: Ikiwa na Russia au bila ya Russia, Iran itaukwamisha ushoroba wa Marekani eneo la Qafqaz
Aug 09, 2025 23:48Ali Akbar Velayati, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapinga kuanzishwa ushoroba wa usafirishaji na wa nishati unaodhibitiwa na Marekani nchini Armenia, jambo ambalo amesema litasababisha hatari kubwa kwa utulivu wa kanda hii.
-
Iran: Mpango wa kuukalia Mji wa Ghaza unaonesha 'dhamira bayana' ya Israel ya kufanya mauaji ya kimbari
Aug 08, 2025 23:50Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imesema mpango wa utawala wa kizayuni wa Israel wa kuukalia Mji wa Ghaza (Ghaza City) ni kielelezo kingine cha wazi cha "dhamira bayana" ya utawala huo ya kufanya uangamizaji wa kizazi na mauaji ya kimbari huko Ghaza.
-
Pezeshkian: Mwandishi wa habari ni kiongozi wa mstari wa mbele katika kutetea ukweli
Aug 08, 2025 09:45Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, mwandishi wa habari ni kiongozi wa mstari wa mbele katika kutetea ukweli
-
Velayati na Nouri al-Maliki wasisitiza kuungwa mkono Kambi ya Muqawama
Aug 08, 2025 04:15Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu katika Masuala ya Kimataifa amefanya mazungumzo ya simu na Waziri Mkuu wa zamani wa Iraq, Nouri al-Maliki ambapo pande hizo mbili zimejadili matukio ya kikanda na kusisitiza udharura wa kuungwa mkono Kambi ya Muqawama.
-
Ayatullah Khamenei amteua Larijani kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa
Aug 07, 2025 22:48Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amemteua mwanasiasa mkongwe, Ali Larijani, kuwa mwakilishi wake katika Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC)
-
Araqchi: Mpango wa kuipokonya silaha Hizbullah utagonga mwamba
Aug 07, 2025 08:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametangaza kuwa, njama za kuipokonya silaha Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon hazitafanikiwa na kwamba Iran inaiunga mkono Hizbullah bila ya kuingilia masuala ya ndani ya nchi hiyo.