-
Wakuu wa Majeshi ya Iran na Afrika Kusini Wafanya Mazungumzo mjini Tehran
Aug 12, 2025 10:30Jenerali Rudzani Maphwanya, Kamanda wa Jeshi la Ulinzi wa Kitaifa la Afrika Kusini, amekutana mjini Tehran na Meja Jenerali Amir Hatami, Mkuu wa Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ambapo wamesisitiza uhusiano wao mkubwa wa kupambana na ukoloni na uungaji mkono wa pamoja kwa watu wanaodhulumiwa wa Gaza.
-
Larijani: Makubaliano ya usalama ya Iran na Iraq yanatayarisha jukwaa la usalama thabiti katika eneo
Aug 12, 2025 09:18Ali Larijani, Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema: 'Makubaliano ya usalama kati ya Iran na Iraq kwa hakika yanaandaa jukwaa la usalama thabiti kwa nchi zote mbili.'
-
Iran na Iraq zasaini makubaliano muhimu ya usalama wa mpaka kufuatia mazungumzo ya ngazi ya juu
Aug 12, 2025 04:15Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Iraq zimetia saini Hati ya Maelewano ili kuimarisha usalama kwenye mpaka wao wa pamoja.
-
Iran yaulaani utawala wa kizayuni wa Israel kwa mauaji ya halaiki ya wanahabari Ghaza
Aug 11, 2025 23:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Abbas Araghchi amelaani mauaji ya waandishi wa habari watano wa Al Jazeera yaliyofanywa katika shambulio la anga la jeshi la utawala wa kizayuni wa Israel katika Ukanda wa Ghaza, na kuielezea jinai hiyo kama ushahidi wa kutapatapa utawala unaoshutumiwa kwa hasira duniani kote na unaozidi kuporomoka.
-
Iran: Haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon inaifanya ihitaji kuwa na uwezo wa kijeshi
Aug 11, 2025 07:52Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kwamba, kuwa na uwezo wa kijeshi ni muhimu kutokana na haki ya kimsingi ya kujilinda iliyonayo Lebanon.
-
Araqchi: Afisa wa IAEA Tehran, lakini hakuna mpango wa kukaguliwa maeneo ya nyuklia
Aug 11, 2025 05:37Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Naibu Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) anatarajiwa kufanya ziara hapa Tehran kwa mazungumzo, lakini kutembelea taasisi za nyuklia si sehemu ya ajenda ya safari hiyo.
-
Iran yazindua kliniki 9 kote nchini za kutibu majeraha kwa kutumia plasma
Aug 11, 2025 05:35Mohammad Eslami, Makamu wa Rais na Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) ametangaza kuzinduliwa kliniki tisa maalumu kote nchini zinazotumia plasma kutibu majeraha.
-
Rais wa Iran: Tunakaribisha ustawishaji mahusiano ya kujenga na nchi zote duniani
Aug 10, 2025 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, taifa hili linakaribisha mahusiano na ushirikiano na mataifa yote ya dunia.
-
Rais Pezeshkian: Utawala wa Kizayuni na washirika wake hawana dini, utu wala uhuru
Aug 10, 2025 07:09Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, utawala wa Kizayuni na waungaji mkono wake hawana dini, hawana utu wala uhuru, na wanafanya jinai hiyo hiyo dhidi ya watoto madhulumu wa Gaza.
-
Velayati: Ikiwa na Russia au bila ya Russia, Iran itaukwamisha ushoroba wa Marekani eneo la Qafqaz
Aug 09, 2025 23:48Ali Akbar Velayati, Mshauri mwandamizi wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itapinga kuanzishwa ushoroba wa usafirishaji na wa nishati unaodhibitiwa na Marekani nchini Armenia, jambo ambalo amesema litasababisha hatari kubwa kwa utulivu wa kanda hii.