Iran
  • Ayatullah Khatami: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utamfanya adui ajute

    Ayatullah Khatami: Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran utamfanya adui ajute

    Jun 13, 2025 09:23

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran ameeleza kuwa, kukabiliana na adui na kupambana na mvamizi na dhalimu ni miongoni mwa mafundisho ya Ghadir na akasema: "Kwa fadhila za Mwenyezi Mungu, mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu utamfanya adui ajutie."

  • Kiongozi Muadhamu ateua makamanda wapya kuchukua nafasi ya waliouawa shahidi na Israel

    Kiongozi Muadhamu ateua makamanda wapya kuchukua nafasi ya waliouawa shahidi na Israel

    Jun 13, 2025 09:10

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameteua makamanda wapya wakuu wa jeshi kuchukua nafasi ya waliouliwa shahidi na utawala haramu wa Israel

  • Spika wa Bunge la Iran: Tutamaliza kazi ambayo Israel imeanzisha

    Spika wa Bunge la Iran: Tutamaliza kazi ambayo Israel imeanzisha

    Jun 13, 2025 08:54

    Mohammad Baqer Qalibaf Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani uchokozi wa Israel dhidi ya Iran na akatangaza kwamba sasa ni wakati kulipiza kisasi, na kisasi hiki kitatekelezwa.

  • Uwezo mkubwa wa Iran wa kutoa pigo kali kwa utawala wa Kizayuni

    Uwezo mkubwa wa Iran wa kutoa pigo kali kwa utawala wa Kizayuni

    Jun 13, 2025 08:25

    Ukiwa unatekeleza mpango wa pamoja na Marekani chini ya taa ya kijani ya Washington, baada ya vitisho vya mara kwa mara vya kushambulia vituo vya nyuklia vya Iran, hatimaye utawala wa Kizayuni umeanzisha mashambulizi ya anga dhidi ya shabaha mbalimbali nchini Iran alfajiri ya Ijumaa, Juni 13, ambayo yamepelekea kuuawa shahidi idadi kadhaa ya makamanda wakuu wa kijeshi na raia wa kawaida, wakiwemo wanawake na watoto.

  • Mngurumo wa mwisho wa Israel: 'Simba Anayeinukia' kusambaratishwa na kimbunga cha Iran

    Mngurumo wa mwisho wa Israel: 'Simba Anayeinukia' kusambaratishwa na kimbunga cha Iran

    Jun 13, 2025 06:57

    Mashambulio ya utawala ghasibu wa Israel katika miji kadhaa ya Iran yamefanyika leo alfajiri huku mivutano na hali ya wasi wasi ikiendelea kuongezeka katika eneo, jambo linaloonyesha wazi nia ya Tel Aviv ya kuchochea machafuko katika eneo hili tata la Asia Magharibi, ambapo anga inabadilika haraka kwa maslahi ya mrengo wa muqawama.

  • IRGC: Tutatoa jibu zito kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    IRGC: Tutatoa jibu zito kufuatia mashambulizi ya Israel dhidi ya Iran

    Jun 13, 2025 05:21

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, IRGC, limelaani vikali shambulizi la kijeshi lililofanywa na Israel dhidi ya ardhi ya Iran, ambalo limepelekea kuuawa kwa Kamanda Mkuu wake, Meja Jenerali Hossein Salami.

  • Hujuma ya kikatili  ya Israel dhidi ya Iran yalaaniwa vikali Kimataifa

    Hujuma ya kikatili ya Israel dhidi ya Iran yalaaniwa vikali Kimataifa

    Jun 13, 2025 05:15

    Jumuiya ya kimataifa imejitokeza kwa sauti moja kulaani vikali mashambulizi ya kijeshi yaliyofanywa na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ikitaja kitendo hicho kuwa ni ukiukaji wa wazi wa sheria za kimataifa na tisho kubwa kwa amani ya Mashariki ya Kati.

  • Serikali ya Iran yaapa kulipiza kisasi baada ya hujuma ya mashambulizi ya Israel

    Serikali ya Iran yaapa kulipiza kisasi baada ya hujuma ya mashambulizi ya Israel

    Jun 13, 2025 05:07

    Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetoa tamko kali la kulaani mashambulizi ya anga yaliyofanywa na Israel alfajiri ya leo Ijumaa, ambayo kwa mujibu wa ripoti za awali, yamepelekea kuuawa shahidi maafisa waandamizi wa kijeshi pamoja na wanasayansi mashuhuri wa nyuklia wa Iran. Tehran imetaja mashambulizi hayo kama “kitendo cha kigaidi kinachoakisi uoga.”

  • Jenerali Ali Fadavi: Iran itaifanya Israel kujutia mashambulizi yake

    Jenerali Ali Fadavi: Iran itaifanya Israel kujutia mashambulizi yake

    Jun 13, 2025 05:03

    ​​​​​​​Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC), Brigedia Jenerali Ali Fadavi, amesema kuwa Iran iko tayari kulipiza kisasi kikubwa dhidi ya Israel kufuatia mashambulizi ya hivi karibuni dhidi ya ardhi ya Iran, akisisitiza kuwa hatua hiyo itaiumiza na kuiaibisha Israel na washirika wake.