-
Msemaji wa Wizara ya Ulinzi: Hakukuwa na shehena za zana za kijeshi katika Bandari ya Shahid Rajaee
Apr 27, 2025 23:03Msemaji wa Wizara ya Ulinzi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza kuwa uchunguzi unaonyesha kuwa hakukuwa na shehena iliyoingizwa nchini au kusafirishwa nje ya nchi kwa ajili ya fueli au kwa matumizi ya kijeshi katika eneo la tukio la moto katika Bandari ya Shahidi Rajaee.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kupanua mahusiano na Afrika katika nyanja zote
Apr 27, 2025 09:47Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amezungumzia uwezo wa bara la Afrika na ulazima wa kuwepo ushirikiano na kwamba, Iran iko tayari kupanua ushirikiano wake na bara la Afrika katika nyanja zote.
-
Usafirishaji nje bidhaa waanza tena kwenye Bandari ya Shahid Rajaee baada ya mlipuko wa jana
Apr 27, 2025 08:27Idara ya Forodha ya Irani imetangaza kuwa: Taratibu za forodha za usafirishaji na uagizaji wa bidhaa kutoka nje ya nchi zimeanza tena katika Forodha ya Bandari ya Shahid Rajaee huko Bandar Abbas.
-
Mkutano wa 3 wa Kiuchumi wa Iran na Afrika umeanza mjini Tehran
Apr 27, 2025 04:19Mkutano wa 3 wa Ushirikiano wa Kiuchumi kati ya Iran na Afrika umeanza leo hapa Tehran na utaendelea hadi tarehe 29 mwezi huu wa Aprili. Mkutano huu aidha utaendelea katika mji wa Isfahan hapa nchini tarehe 29 hadi 30 Aprili.
-
Araqchi: Nimeridhishwa na hatua zilizopigwa katika mazungumzo na Marekani; mashauriano zaidi yanahitajika
Apr 27, 2025 04:16Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema ameridhishwa na hatua zilizopigwa hadi sasa katika mazungumzo ya nyuklia yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani.
-
Pezeshkian asisitiza haja ya ushirikiano wa nchi za eneo ili kukabiliana na ugaidi
Apr 26, 2025 23:24Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuna udharura wa kuwepo na ushirikiano thabiti miongoni mwa nchi za eneo hili, ili kwa pamoja ziweze kupambana na zimwi la ugaidi.
-
Mripuko mkubwa watikisa bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran, 5 wafariki, zaidi ya 500 wajeruhiwa
Apr 26, 2025 11:47Mripuko mkubwa umetokea katika bandari ya Shahidi Rajaee kusini mwa Iran na kusababisha uharibifu mkubwa na hasara, huku timu za utoaji huduma za dharura zikikimbilia katika eneo la tukio ili kudhibiti hali hiyo.
-
Iran na Marekani zahitimisha duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana mjini Muscat
Apr 26, 2025 10:46Duru ya tatu ya mazungumzo yasiyo ya ana kwa ana kati ya wawakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Marekani, ambayo imefanyika Muscat, mji mkuu wa Oman kwa uratibu wa serikali ya nchi hiyo, imemalizika kama ilivyopangwa.
-
Hatua mpya katika kuzidisha kiwango cha ushirikiano kati ya Iran na Russia
Apr 26, 2025 07:20Miamala ya kibiashara kati ya Iran na Russia inazidi kuongezeka katika nyanja mbalimbali za kiuchumi hususan katika sekta ya nishati na usafirishaji.
-
Araqchi: Iran iko tayari kupatanisha kati ya India na Pakistan
Apr 26, 2025 03:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran, Sayyid Abbas Araqchi ametangaza kwamba Tehran iko tayari "kufanya juhudi za kuzidisha maelewano kati ya India na Pakistan katika kipindi hiki kigumu.