-
Iran: Tumefanya mazungumzo mazuri na IAEA kuhusu nyuklia
Mar 17, 2025 22:43Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya Sheria na ya Kimataifa amesema kuwa, mazungumzo yake na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA, Rafael Mariano Grossi, yalikuwa ya wazi na ya maana.
-
Baqaei: Jumbe za Marekani zinakinzana
Mar 17, 2025 08:08Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa jumbe zinazotoka Marekani zinakinzana yaani sambamba na kubainisha kuwa nchi hiyo iko tayari kufanya mazungumzo, wakati huo huo vikwazo vikubwa vinawekwa kwa sekta mbalimbali za kibiashara na uzalishaji za Iran.
-
Sisitizo la Iran la kukabiliana na siasa za mabavu za Marekani
Mar 17, 2025 06:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Seyed Abbas Araghchi alisema Jumapili, Machi 16, katika kujibu matamshi ya kibabe na ya uingiliaji ya viongozi wa Marekani dhidi ya Iran, kwamba serikali ya Washington haina haki ya kuilazimisha Iran itekeleze siasa za kigeni zinazoendana na maslahi ya Washington.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu: Bila shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi
Mar 17, 2025 02:46Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyid Ali Khamenei amelipongeza taifa la Yemen kwa Muqawama wake wa kukabiliana na jinai za kinyama za utawala wa Marekani dhidi ya nchi hiyo na kusisitiza kuwa hakuna shaka yoyote taifa la Yemen litaibuka mshindi.
-
Baqaei: Chanzo cha ukosefu wa amani Asia Magharibi ni mauaji na kukaliwa Palestina
Mar 16, 2025 23:38Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani hujuma za majeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen na kusema kuwa, mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia ni kuendelea mauaji na kukaliwa kwa mabavu ardhi ya Palestina.
-
Salami: Tishio lolote dhidi ya Iran litakabiliwa na jibu la kuumiza
Mar 16, 2025 08:14Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ameonya kwamba, Iran itatoa jibu la maangamivu kwa tishio lolote iwapo litatekelezwa kivitendo dhidi ya taifa hili.
-
Iran: Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani
Mar 16, 2025 02:36Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma ujumbe akisisitiza kuwa, Marekani haina haki ya kutupangia tufuate siasa gani za kigeni.
-
Araqchi: Iran iko tayari kuzungumza na Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana
Mar 15, 2025 23:20Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema: Tehran iko tayari kuzungumza na nchi za Ulaya katika mazingira ya kuheshimiana na yanayojali maslahi ya pamoja.
-
Wanawake wa Iran wanastawi kwa kasi licha ya vikwazo
Mar 15, 2025 23:19Licha ya vikwazo, wanawake wa Iran wanaendelea kuwa na azma thabiti ya kujenga mustakabali wa haki zaidi.
-
Iran yazindua Jukwaa la Kitaifa la AI: Hatua kubwa kuelekea kwenye kilele cha teknolojia
Mar 15, 2025 23:18Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imezindua Jukwaa lake la Kitaifa la Akili Mnemba (AI), lililoundwa na watafiti 100 wa Iran, ikiwa ni ishara ya hatua kubwa katika harakati za nchi hii za kujiendeleza na kujitosheleza kiteknolojia.