Iran
  • Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran yafunguliwa

    Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran yafunguliwa

    May 07, 2025 09:34

    Maonyesho ya 36 ya Kimataifa ya Vitabu ya Tehran yamefunguliwa leo asubuhi katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi wa ngazi za juu wakiwemo Waziri wa Utamaduni na Muongozo wa Kiislamu, Abbas Salehi, na Spika wa Bunge la Iran, Mohammad Bagher Ghalibaf.

  • Jibu la mkato la Iran kwa porojo la Netanyahu

    Jibu la mkato la Iran kwa porojo la Netanyahu

    May 07, 2025 05:28

    Amir-Saeid Iravani, Balozi na Mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameliandikia barua Baraza la Usalama la umoja huo kujibu porojo na upayukaji wa waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni Benjamin Netanyahu dhidi ya Iran.

  • Russia na Iran zasisitiza kushirikiana zaidi katika siasa za kigeni

    Russia na Iran zasisitiza kushirikiana zaidi katika siasa za kigeni

    May 07, 2025 03:43

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Russia wamesisitiza juu ya azma ya nchi zao ya kushirikiana zaidi katika uga wa siasa za kigeni.

  • Iran: Tutajibu chokochoko yoyote ya kijeshi ya Marekanii au Israel

    Iran: Tutajibu chokochoko yoyote ya kijeshi ya Marekanii au Israel

    May 07, 2025 03:43

    Balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa, hatua zozote za kijeshi za Marekani au utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya mamlaka ya kujitawala na maslahi ya taifa ya Iran zitapatiwa jibu la haraka na mwafaka.

  • Tamasha la Asubuhi: Sauti ya Muqawama dhidi ya ubeberu wa kimataifa, linaendelea Tehran

    Tamasha la Asubuhi: Sauti ya Muqawama dhidi ya ubeberu wa kimataifa, linaendelea Tehran

    May 07, 2025 03:07

    Tamasha la tatu la vyombo vya habari la "Sobh", (Asubuhi) kwa ajili ya kuwaenzi watu mashuhuri wanaopinga ubeberu, kuanzia wabunge wa zamani wa mabunge ya Ulaya na Uingereza hadi mwandishi wa habari wa Palestina kutoka Gaza, linaendelea kupaza sauti ya mapambano na Muqawama dhidi ya ukandamizaji wa kimataifa.

  • Msemaji wa serikali ya Iran: Vikwazo vya Marekani vinalenga maisha ya raia

    Msemaji wa serikali ya Iran: Vikwazo vya Marekani vinalenga maisha ya raia

    May 07, 2025 03:04

    Msemaji wa Serikali ya Iran amesema kuwa vikwazo vilivyowekwa na serikali ya Rais Donald Trump wa Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran vinaathiri maisha ya watu wa kawaida.

  • Umuhimu wa safari ya Araghchi nchini Pakistan

    Umuhimu wa safari ya Araghchi nchini Pakistan

    May 06, 2025 07:47

    Seyyed Abbas Araghchi, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alifanya safari mjini Islamabad na kukutana na kushauriana na viongozi wa Pakistan kuhusu kuimarisha uhusiano wa pande mbili na kubadilishana mawazo kuhusu matukio ya kieneo na kimataifa.

  • Mjumbe wa Trump: Mazungumzo ya Iran na Marekani ni chanya

    Mjumbe wa Trump: Mazungumzo ya Iran na Marekani ni chanya

    May 06, 2025 07:30

    Mjumbe wa rais wa Marekani, Donald Trump katika ukanda wa Asia Magharibi amesema kuwa mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja kati ya Iran na Marekani ni chanya, na kwamba juhudi zinaendelea za kuhakikisha inafanyika duru nyingine ya mazungumzo hayo mwishoni mwa wiki hii.

  • Makampuni yanayotegemea elimu Iran yanavunja rekodi ya mapato

    Makampuni yanayotegemea elimu Iran yanavunja rekodi ya mapato

    May 06, 2025 07:29

    Mkurugenzi Mkuu wa Ofisi ya Tathmini ya Makampuni yanayoendeshwa kwa kutegemea Msingi wa Elimu na Maarifa ya Iran ametilia mkazo nafasi muhimu ya makampuni hayo katika maendeleo ya teknolojia na viwanda humu nchini na kusema kuwa yamevunja rekodi ya mauzo ya bidhaa nje ya nchi mwaka 2024.