-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Marekani imevunja makubaliano yake yote na Iran
Dec 06, 2024 09:30Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa Marekani imevunja makubaliano yote katika historia ya uhusiano wake na Iran na imepoteza ustahiki wa kufanya mazungumzo na Iran.
-
Mkutano wa mawaziri wa nchi zinazouza gesi duniani waanza Tehran
Dec 06, 2024 08:39Mkutano wa 26 wa nchi zinazouza gesi duniani umeanza shughuli zake hapa mjini Tehran.
-
Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran aelekea Iraq
Dec 06, 2024 03:58Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo ameelekea Baghdad mji mkuu wa Iraq ikiwa ni muendelezo wa safari yake ya kieneo yenye lengo la kujadili matukio ya hivi karibuni nchini Syria na eneo la Asia Magharibi kwa ujumla.
-
Iran yaombeleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw) Fatima al Zahra (as)
Dec 05, 2024 08:25Waislamu katika baadhi ya maeneo ya dunia, hususan wafuasi wa Watu wa Nyumba tukufu ya Mtume wetu Muhammad (saw) leo wanaomboleza siku ya kufa shahidi binti kipenzi wa Mtume Muhammad (saw), Bibi Fatima al Zahra (as) aliyeaga dunia katika siku kama hii ya leo, tarehe 3 Jamadithani mwaka wa 11 Hijria.
-
Iran yajibu tuhuma za Katibu Mkuu mpya wa NATO dhidi ya Tehran
Dec 05, 2024 08:23Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu mpya wa shirika la kijeshi la nchi za Maghjaribi, NATO, akiituhumu Iran kuhusu matukio ya Ukraine na kusema matamshi hayo si ya kuwajibika.
-
Sisitizo la Araghchi juu ya haja ya kukabiliana na makundi ya kigaidi nchini Syria
Dec 05, 2024 04:46Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza juu ya ulazima wa kuweko uratibu wa nchi za kieneo na jibu la haraka la jamii ya kimataifa katika kukabiliana na makundi ya kigaidi nchini Syria.
-
Velayati: Haikufikiriwa kama Uturujki ingenasa katika mtego wa Marekani na Wazayuni
Dec 04, 2024 23:33Dr. Ali Akbar Velayati, mshauri wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya iran katika masuuala ya kimataifa ameashiria machafuko ya hivi karibuni ya magaidi nchini Syria na kusema: "Kwa bahati mbaya Uturuki imekuwa chombo katika mikono ya Marekani na utawala wa Kizayuni."
-
Iran yapinga madai ya 'Troika ya Ulaya' kuhusu kadhia ya nyuklia
Dec 04, 2024 23:27Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtumia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na Baraza la Usalama akisema kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Tehran hazina msingi wowote na zina malengo ya kisiasa. Amir Saeid Iravani ameeleza hayo kufuatia tuhuma zilizotolewa na wawakilishi wa Troika ya Ulaya dhidi ya Tehran. Troika hiyo inajumuisha Ufaransa, Uingereza na Ujerumani.
-
Iravani: Iran itaendelea kuwa imara katika kuiunga mkono Syria
Dec 04, 2024 09:35Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amezungumzia machafuko ya karibuni ya magaidi huko Syria na kusisitiza kuwa Tehran itaendelea kuiunga mkono Damascus katika kukabiliana na makundi hayo ya kigaidi.
-
Iran iko tayari kuangalia uwezekano wa kupeleka askari Syria ikiombwa rasmi kufanya hivyo
Dec 04, 2024 03:49Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amesema, Iran iko tayari kufikiria kupeleka wanajeshi Syria, ambako serikali inapambana na ugaidi uliozuka upya, iwapo Damascus itatoa ombi rasmi.