-
Iran yasema: Marekani na Israel zinachochea ugaidi wa kitakfiri nchini Syria
Dec 03, 2024 23:59Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi amezilaumu Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwa ongezeko la ugaidi hivi karibuni kaskazini mwa Syria na kuitaka jamii ya kimataifa ichukue hatua za haraka na madhubuti za kukabiliana na kuibuka tena magenge ya kigaidi ya ukufurishaji katika taifa hilo la Kiarabu.
-
Mgodi mkubwa zaidi wa dhahabu wa Iran watangaza ongezeko la akiba
Dec 03, 2024 23:52Mgodi mkubwa zaidi wa dhahabu wa Iran una akiba zaidi ambayo imebainika baada ya uchunguzi katika mgodi huo ulio kaskazini magharibi mwa Iran.
-
Pezeshkian: Madola ya Ulaya yameonyesha upande wao wa pili wa sarafu kwa kuiwekea vikwazo Iran
Dec 03, 2024 09:33Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitathmini tabia ya chuki na uadui ya madola ya Ulaya kuhusiana na vikwazo dhidi ya Iran kuwa ni ya kutafakarika.
-
Iran: Troika ya Ulaya inapasa kukomesha mara moja vitendo vinavyokiuka JCPOA
Dec 03, 2024 08:34Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amemtumia barua Katibu Mkuu wa umoja huo na Baraza la Usalama akisema kuwa tuhuma zilizotolewa dhidi ya Tehran hazina msingi wowote na zina malengo ya kisiasa. Amir Saeid Iravani ameeleza haya kufuatia tuhuma zilizotolewa na wawakilishi wa Troika ya Ulaya dhidi ya Tehran.
-
Araghchi: Kuna mipango ya pamoja ya Israel na Marekani kufanya ugaidi Syria
Dec 03, 2024 03:50Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Kuna uratibu kamili kati ya utawala wa Kizayuni, Marekani na makundi ya kigaidi, na mwenendo wa matukio unaashiria uratibu na mpangilio wa magaidi."
-
Rais Pezeshkian: Kambi ya Muqawama itashinda njama za magaidi
Dec 02, 2024 23:21Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kuboresha ushirikiano na Syria ili kuondokana na mgogoro unaoendelea katika nchi hiyo ya Kiarabu baada ya magenge ya kigaidi kuanzisha wimbi jipya la mashambulizi yao ya kikatili.
-
Rais Pezeshkian: Kuenea ugaidi Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili
Dec 02, 2024 23:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na Amir wa Qatar na kusisitiza kuwa, kuenea machafuko na vitendo vya kigaidi nchini Syria si kwa manufaa ya nchi yoyote ya eneo hili, hivyo ni wajibu wa nchi zote kushirikiana kupambana na vitendo hivyo vya kigaidi.
-
Ismail Baqaei: Utambulisho na malengo ya magaidi nchini Syria hayajabadilika
Dec 02, 2024 08:32Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa mienendo ya makundi ya kigaidi ni tofauti na zamani, lakini kwamba utambulisho na malengo yao hayajabadilika.
-
Kulindwa na kudumishwa umoja wa ardhi yote ya Syria, mkakati wa kikanda wa Iran
Dec 02, 2024 05:59Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri wa Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa kudumishwa na kulindwa umoja wa ardhi za nchi zingine ikiwemo Syria ni mkakati wa kikanda wa Iran. Rais Pezeshkian ametoa sisitizo hilo katika mazungumzo aliyofanya kwa njia ya simu na Waziri Mkuu wa Iraq, Mohammad Shia al-Sudani.
-
Araghchi: Matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wamarekani na Wazayuni dhidi ya eneo
Dec 02, 2024 03:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza katika mazungumzo yake na Rais Bashar al-Assad wa Syria mjini Damascus, kwamba matukio ya Syria ni sehemu ya njama za Wazayuni na Wamarekani dhidi ya eneo la Asia Magharibi.