-
Rais wa Iran: Mataifa ya Kiislamu yanapaswa kuzuia kuendelea mgogoro wa Syria
Dec 01, 2024 09:53Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezungumzia hali ya Syria, na kusema: Nchi za Kiislamu lazima ziingilie kati ili kuzuia kutumia vibaya Marekani na Israel kutokana na mapigano ya ndani ya mataifa na kuzuia kuendelea kwa migogoro hiyo.
-
Duru mpya ya hatua za kidiplomasia za Iran kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kitakfiri na kigaidi katika eneo
Dec 01, 2024 08:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeanzisha duru mpya ya hatua za kidiplomasia katika eneo kwa ajili ya kukabiliana na makundi ya kigaidi na kitakfiri.
-
Araghchi: Magenge ya ukufurishaji hayawezi kufanya lolote mbele ya Muqawama
Dec 01, 2024 08:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, harakati za kidiplomasia na mapambano kwenye medani ya vita ni vitu viwili visivyotenganishika na kwamba nguvu za kidiplomasia zinategemea nguvu za kwenye medani ya mapambano.
-
Iran: Njama za Wamarekani na Wazayuni nchini Syria zinalenga kuyumbisha Asia Magharibi
Dec 01, 2024 01:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Abbas Araghchi anasema kuibuka tena ugaidi wa kitakfiri kaskazini mwa Syria ni sehemu ya mradi wa Marekani na Israel unaolenga kueneza ukosefu wa usalama katika eneo la Asia Magharibi.
-
Ivory Coast yasisitiza kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran
Dec 01, 2024 00:42Balozi wa Ivory Coast nchini Iran amesisitiza azma ya nchi yake ya kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na Iran.
-
Iran yahimiza kufukuzwa Israel katika Tume ya Umoja wa Mataifa ya Wanawake
Nov 30, 2024 09:44Katibu wa Tume ya Haki za Binadamu ya Iran, ameitaka Kamisheni ya Umoja wa Mataifa kuhusu Hali ya Wanawake (UNCSW) kuiondoa Israel katika jumuiya hiyo ya kimataifa kutokana na vita vyake vya umwagaji damu na uhalifu wa kutisha dhidi ya wanawake na wasichana katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Iran na nchi tatu za Ulaya zaafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia
Nov 30, 2024 03:58Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran wa masuala ya Sheria na Kimataifa amesema Jamhuri ya Kiislamu na nchi tatu za Ulaya zimeafikiana kuendeleza mazungumzo ya kidiplomasia.
-
Iran yatoa wito kwa EU kubadili tabia ya ‘kiburi, kutowajibika’
Nov 29, 2024 23:18Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameutaka Umoja wa Ulaya kubadili tabia yake ya "kiburi na kutowajibika" mkabala wa Tehran huku mazungumzo kati ya wanadiplomasia wa Iran na Ulaya yakitarajiwa kuanza mjini Geneva.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa: Magharibi iwezeshe kufanyika mazungumzo kwa kuheshimu haki za taifa la Iran
Nov 29, 2024 08:38Khatibu wa Sala ya Ijumaa ya mjini Tehran amesema: "ikiwa Magharibi itarekebisha mwenendo wake na pande mbili zikaheshimiana, itaweza kuandaa mazingira ya kufanyika mazungumzo na kufikia makubaliano na Iran".
-
Kiongozi wa Mapinduzi: Wanaohuisha jina na kumbukumbu ya Mashahidi, wao pia ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu
Nov 29, 2024 04:18Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kwa kusema: "mimi ninawaona wale wote wanaofanya kazi ya kuhuisha kumbukumbu za Mujahidina na Mashahidi kuwa ni Mujahidina katika njia ya Mwenyezi Mungu; yaani hii yenyewe ni Jihadi katika njia ya Mwenyezi Mungu".