-
Sisitizo la Kiongozi Muadhamu la kuongezwa uwezo wa kijeshi wa nchi
Nov 28, 2024 09:40Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Iran yawataka wasomi wa Kiislamu kuzuia dhulma dhidi ya Waislamu huko Palestina na Lebanon
Nov 28, 2024 07:57Mkuu wa Kamisheni ya Usalama wa Taifa na Siasa za Kigeni ya Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amewataka wanazuoni wa Ulimwengu wa Kiislamu kuwatetea watu wanaodhulumiwa na Waislamu kote duniani, na pia kuchukua maamuzi ya kijasiri ya kusitisha ukatili na jinai zinazofanyika katika Ukanda wa Gaza na Lebanon.
-
Mkuu wa IRGC: Lebanon imepata 'ushindi wa kimkakati, na Israel imembulia fedheha
Nov 28, 2024 07:56Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) ameipongeza Lebanon na harakati yake ya Muqawama, Hizbullah kwa kufanikiwa kusimamisha vita vya Israel, na kuutaja kuwa ni "ushindi wa kimkakati kwa Hizbullah na wa kufedhehesha" kwa utawala ghasibu wa Israel.
-
Hizbullah yaishukuru Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kwa himaya yake ya pande zote
Nov 28, 2024 07:56Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imemshukuru Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu kutokana na himaya yake na hatua za kidiplomasia za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran za kusimamisha vita nchini Lebanon.
-
Kiongozi Muadhamu: Hatima ya Israel ni kuondoka Asia Magharibi
Nov 28, 2024 04:01Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa, utawala wa Kizayuni wa Israel unaelekea kuondoka katika eneo la Asia Magharibi na kusisitiza kuwa, operesheni zinazoendelea za harakati za muqawama dhidi ya Israel haziwezi kusitishwa.
-
Masoud Juma wa Kenya ajiunga na Klabu ya Soka ya Esteghlal ya Iran
Nov 28, 2024 03:55Massoud Juma, mshambuliaji shupavu wa Kenya amejiunga na kambi ya timu ya Soka ya Esteghlal ambayo iko katika Ligi Kuu ya Soka ya Iran.
-
Mkuu wa Jeshi la Wanamaji la Iran: Majeshi yote ya kigeni lazima yaondoke eneo la Asia Magharibi
Nov 28, 2024 00:00Kamanda wa Jeshi la Wanamaji la Iran amesisitiza kuwa, majeshi yote ya kigeni lazima yaondoke kwenye maji ya eneo la Asia Magharibi na akasema: "maajinabi wanapaswa waje hapa ikiwa tu wataonyesha heshima na taadhima kwa watu wa eneo hili".
-
Iran yaanza kuingiza gesi kwenye mashinepewa mpya baada ya azimio la IAEA
Nov 27, 2024 23:29Mkuu wa Shirika la Nishati ya Atomiki la Iran (AEOI) amesema Iran imeanza kuingiza gesi ya urani kwenye mashinepewa au sentrifuji za kisasa kama jibu kwa azimio la hivi karibuni la Bodi ya Magavana ya Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Nyuklia (IAEA).
-
Iran yakaribisha kusitishwa vita Lebanon, yasisitiza kuwaunga mkono wananchi na Hizbullah
Nov 27, 2024 09:12Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekaribisha makubaliano ya usitishaji vita kati ya Hizbullah na Israel, na kusisitizia uungaji mkono thabiti wa Jamhuri ya Kiislamu kwa serikali ya Lebanon, wananchi na harakati yake ya Muqawama.
-
Imamu Khamenei: Kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi
Nov 27, 2024 08:34Amiri Jeshi Mkuu wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran amesema, kuongeza utayari na uwezo wa kivita ndilo jukumu muhimu zaidi la vikosi vya ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu.