-
Araghchi: Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono mazungumzo ya kustawisha amani
Nov 27, 2024 04:28Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu yenye utamaduni na ustaarabu tajiri na wa muda mrefu, ni muungaji mkono na mlinganiaji wa maingiliano na mazungumzo ya kuhimiza amani na kuishi pamoja baina ya nchi mbalimbali.
-
Iran yatilia mkazo umuhimu wa kushirikiana watu wote duniani kukomesha jinai za Israel
Nov 26, 2024 23:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametilia mkazo wajibu wa kushirikiana jamii zote duniani katika kuhakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel unakomesha jinai zake huko Palestina na Lebanon.
-
Iran mhanga mkubwa zaidi wa silaha za kemikali
Nov 26, 2024 11:21Katika mkutano wa 29 wa mwaka wa Nchi Wanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali (CWC) huko The Hague, nchi za Magharibi zimenyamazia kimya orodha ya jinai zao za kutumia silaha za kemikali.
-
Jenerali Baqeri: Majibu ya Iran kwa uvamizi wa Israel yatakuwa 'zaidi ya inavyodhaniwa'
Nov 26, 2024 10:06Kamanda wa ngazi ya juu zaidi wa kijeshi nchini Iran amesema kuwa Majeshi ya Iran yameandaa jibu kali kwa shambulio la mwezi uliopita la utawala wa Israel dhidi ya Iran, akisisitiza kwamba kulipiza kisasi kutakuwa "tofauti" na "zaidi ya inavyodhaniwa" na utawala huo ghasibu.
-
Hemmati: Iran imeimarika katika mfumo mpya wa dunia
Nov 26, 2024 10:01Waziri wa Masuala ya Kiuchumi na Fedha wa Iran amesema kuongezeka kwa uwezo wa Jamhuri ya Kiislamu katika mfumo mpya wa dunia kumeiwezesha nchi hii kuchukua nafasi kubwa katika nyanja kama vile kupambana na mabadiliko ya tabianchi, uhamishaji teknolojia na uwekezaji wa pamoja.
-
Iran yasisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati ya kuwakamata Netanyahu na Gallant
Nov 26, 2024 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi amesisitiza kutekelezwa haraka na kikamilifu hati iliyotolewa na Mahakama ya Kimataifa ya Jinai ICC ya kuwatia nguvuni Benjamin Netanyahu na Yoav Gallant, waziri mkuu na waziri wa zamani wa vita wa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Imam Khamenei: Netanyahu ahukumiwe kifo, hukumu ya ICC ya kukamatwa mhalifu huyo wa vita haitoshi
Nov 25, 2024 10:06Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei ametoa wito wa kuhukumiwa kifo Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ambaye hati ya kukamatwa kwake imetolewa na Mahakama ya kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutokana na mauaji ya kimbari ya utawala huo ghasibu huko Gaza na nchini Lebanon.
-
Waziri wa Mafuta: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haina changamoto yoyote katika kuuza mafuta nje ya nchi
Nov 25, 2024 09:58Waziri wa Mafuta wa Iran amesema kuwa Iran haina tatizo lolote katika uga wa kuuza na kusafirisha mafuta nje ya nchi.
-
Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran aahidi uungaji mkono endelevu kwa Muqawama
Nov 25, 2024 07:48Israel imefikia katika hali ya mkwamo, na Jamhuri ya Kiislamu itaendelea daima kuunga mkono mapambano halali na ya haki dhidi ya utawala wa kibaguzi wa Israel.
-
Iran yakanusha madai ya kuhusika katika mauaji ya kuhani wa Israel huko Abu Dhabi
Nov 25, 2024 04:37Ubalozi wa Iran mjini Abu Dhabi katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) umepinga madai ya kuhusika kwa namna yoyote na mauaji ya kuhani wa Kizayuni mjini Abu Dhabi.