-
Araghchi: Tutashirikiana na serikali mpya ya Lebanon
Jan 11, 2025 07:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewapongeza wananchi wa Lebanon kwa kupata rais mpya na kusema: Tutashirikiana na serikali yoyote itakayowakilisha matakwa ya wananchi wa Lebanon.
-
Mkuu wa IRGC: Iran itazindua miji ya kisasa ya makombora na drone
Jan 11, 2025 03:10Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) anasema hivi karibuni Iran itazindua "miji mipya ya makombora na ndege zisizo na rubani (UAV) iliyoko chini ya ardhi."
-
Pezeshkian ampongeza Rais mpya wa Lebanon; asisitiza umoja na kuimarisha utulivu
Jan 10, 2025 23:28Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemtumia ujumbe Rais mpya wa Lebanon na kusisitiza kuwa umoja na kuimarisha utulivu vitazima njama za kujitanua na tamaa za adui Mzayuni dhidi ya Lebanon.
-
Zarif: Moto mkali wa California unakumbusha unyama wa Israel huko Gaza
Jan 10, 2025 23:27Makamu wa Rais wa Iran anayehusika na masuala ya kimkakati amelinganisha uharibifu unaosababishwa na "ghadhabu ya kimaumbile" kwa njia ya moto mkali huko California na uharibifu uliosababishwa na "unyama wa Israel" katika Ukanda wa Gaza baada ya miezi 15 ya uvamizi na mauaji ya kimbari yanayoungwa mkono na nchi za Magharibi kwenye eneo hilo la Wapalestina.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Ramani ya Asia Magharibi imebadilika kwa maslahi ya Mhimili wa Muqawama
Jan 10, 2025 09:39Khatibu wa Swala ya Ijumaa ya leo mjini Tehran amesema kuwa kinyume na juhudi za ubeberu wa kimataifa, ramani ya eneo la Asia Magharibi imebadilika na imekuwa kwa manufaa ya Mhimili wa Muqawama.
-
Maana ya ushirikiano mpya wa Iran na Russia kwa ulimwengu
Jan 10, 2025 09:14Chombo kimoja cha habari cha Russia kimetathmini ushirikiano wa Iran na Russia na kuandika: Makubaliano ya pamoja ya kistratejia ni hatua muhimu katika kuimarika muungano kati ya mataifa haya mawili.
-
Iran yapongeza kuchaguliwa rais mpya nchini Lebanon, yasisitiza kustawishwa uhusiano
Jan 10, 2025 07:00Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amempongeza Rais mpya wa Lebanon, Serikali na wananchi wake pamoja na mirengo na vyama vyote husika katika uga wa kisiasa wa nchi hiyo kwa kuchaguliwa rais mpya.
-
Baqaei: Mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen ni mfano wa wazi wa jinai
Jan 10, 2025 03:31Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, mashambulizi ya kijeshi ya Marekani na Uingereza dhidi ya Yemen ni mfano wa wazi wa jinai.
-
Mahakama ya Juu Marekani yakataa ombi la Trump la kusitisha hukumu dhidi yake
Jan 10, 2025 03:30Mahakama ya Juu nchini Marekani imetupilia mbali ombi la Rais mteule Donald Trump la kusitisha hukumu dhidi yake leo Ijumaa katika kesi inayomkabili ya uhujumu uchumi
-
Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Qatar yaongezeka kwa 53%
Jan 09, 2025 07:59Mabadilishano ya kibiashara kati ya Qatar na Jamahuri ya Kiislamu ya Iran yameongezeka kwa kasi katika kipindi cha miezi michache iliyopita.