-
Rais Pezeshkian: Kama kweli Wamagharibi wanataka amani, basi waache kuwaunga mkono Wazayuni
Aug 08, 2024 00:04Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza haki ya Iran ya kujibu ipasavyo jinai ya utawala wa Kizayuni na kueleza kwamba, iwapo Wamagharibi wanataka kuzuia ukosefu wa usalama katika eneo, wanapaswa kuacha mara moja kuwaunga mkono Wazayuni.
-
Iran yalaani nchi za Magharibi kukosa uungwana mbele ya jinai za Israel
Aug 07, 2024 23:01Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezilaumu nchi za Magharibi na kusema kuwa zimepoteza heshima na itibari yao mbele ya vita vya Ghaza na zimeshindwa kuonesha hata uungwana wa kiwango cha chini kabisa katika vita hivyo.
-
Sergei Shoigu: Ushirikiano wa Tehran na Moscow unaongezeka
Aug 07, 2024 07:54Katibu wa Baraza la Usalama wa Taifa la Russia amesema kuwa ushirikiano kati ya Tehran na Moscow unaendelea kupanuka.
-
Bagheri Kani: Iran itatoa jibu madhubuti kwa ugaidi wa Israel
Aug 07, 2024 03:36Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema utawala wa Israel ndio chanzo halisi cha ukosefu wa utulivu katika eneo la Asia Magharibi, na kwamba utawala huo wa Kizayuni unapata ujasiri wa kutenda jinai na vitendo vyake vya kigaidi kutokana na kimya cha nchi za Ulaya.
-
Mahakama: Iran itatumia uwezo wake wote kujibu mauaji ya Haniyah
Aug 06, 2024 22:58Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kulipiza kisasi cha mauaji ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), akiwa mjini Tehran.
-
Iran: Nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima katika vita vya Gaza
Aug 06, 2024 09:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima yao katika vita dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na zimekumbwa na mmomonyoko wa kimaadili na mporomoko wa ustaarabu.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Ni lazima tusimame dhidi ya utawala mshari wa Kizayuni
Aug 06, 2024 04:16Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran inapaswa kusimama kidete kukabiliana na utawala muovu kwa jina la utawala wa Kizayuni, ambao ndio chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo.
-
Pezeshkian: Iran iko tayari kuendeleza ushirikiano wa pande zote na Venezuela
Aug 06, 2024 04:10Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesiistiza kuwa Tehran iko tayari kupanua ushirikiano wa pande zote na Venezuela.
-
Rais Pezeshkian: Kuimarisha uhusiano na Russia ni 'kipaumbele cha sera za nje' kwa Iran
Aug 05, 2024 23:53Rais Masoud Pezeshkian wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja Russia kuwa ni "mshirika wa kimkakati" wa Jamhuri ya Kiislamu, akisisitiza kwamba kupanuliwa uhusiano na Moscow ni kipaumbele cha juu cha sera za nje za serikali yake.
-
Iran: Ugaidi ndiyo dhati ya utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 05, 2024 23:27Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, msingi wa utawala wa Kizayuni umesimama juu ya ugaidi na dola hilo pandikizi haliwezi kuishi bila ya kuendelea ugaidi wa kiserikali.