-
Kamanda Naeini: Iran inadhibiti kikamilifu Lango Bahari la Hormuz
Mar 16, 2026 10:31Msemaji wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Lango Bahari la Hormuz linadhibitiwa kikamilifu na Iran na kwamba uchokokozi wowote utakabiliwa na jibu kali.
-
Araqchi: Kushambulia maghala ya mafuta ni kuangamiza mazingira
Mar 16, 2026 10:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa kitendo cha kushambulia maghala ya kuhifadhia mafuta katika mji wa Tehran ni sawa na kuangamiza mazingira.
-
Rais wa Iran amwambia Macron: US, Israel ndio mzizi wa ukosefu wa usalama katika eneo
Mar 16, 2026 06:04Rais wa Iran amesema Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel ndizo chimbuko la ukosefu wa usalama na uthabiti katika eneo la Asia Magharibi, akisisitiza kuwa Jamhuri ya Kiislamu haitasita kukabiliana na wavamizi.
-
Uwezo wa mashambulizi wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran hauwezi kuzuiliwa
Mar 16, 2026 05:45Msemaji wa Kamandi ya Majeshi ya Iran ya Khatam al‑Anbiya (s) amesema: uwezo wa mashambulizi wa Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unatokana na elimu na teknolojia ya ndani ya nchi; hauwezi kumalizika wala kudhibitiwa kwa namna yoyote.
-
Iran yawakamata 'mamluki na majasusi' 36 wa Marekani, Israel
Mar 16, 2026 05:18Jeshi la Polisi la Iran limefanikiwa kutambua na kuvunja mtandao wa mamluki na majasusi uliokuwa ukiongozwa na mashirika ya kijasusi ya Marekani na utawala haramu wa Israel ndani ya Iran.
-
Rais Pezeshkian: Tutajenga upya kila kilichoharibiwa, tena bora kuliko hapo awali
Mar 16, 2026 04:12Rais wa Iran amesisitiza kuwa, “Kwa msaada wenu, watu watukufu wa Iran, tutavuka kipindi hiki na tutajenga upya kila kilichoharibiwa, tena bora zaidi kuliko hapo awali.”
-
Iran yazitaka nchi jirani kuwafukuza wanajeshi vamizi wa kigeni
Mar 15, 2026 05:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa Iran inaziomba nchi jirani na za kindugu kuwafukuza wanajeshi wa kigeni wanaovamia kutoka katika ardhi zao.
-
Qaddoumi: Iran ina haki ya kujibu mashambulizi dhidi yake
Mar 15, 2026 05:11Mwakilishi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) Tehran amesisitiza kuwa Iran ina haki kamili na ya pande zote ya kukabiliana na mashambulizi ya adui kwa kila njia inayoiona inafaa.
-
Jenerali Shekarchi: Tumeharibu kambi zote za US katika eneo, meli ya Abraham Lincoln imetimka
Mar 15, 2026 05:05Msemaji wa Vikosi vya Ulinzi vya Iran, Brigedia Jenerali Abolfazl Shekarchi amesema kambi za kijeshi za Marekani zilizoundwa kwa kutumia rasilimali za Waislamu kwa kisingizio cha kudhamini usalama wa eneo, huku zikifuja mali za mataifa ya Waislamu, zimeharibiwa katika mashambulizi ya kulipiza kisasi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Spika wa Iran: Kambi za kijeshi za US ni tishio kwa nchi wenyeji wake
Mar 15, 2026 05:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani imeitoa kafara kila nchi kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hazizipi ulinzi nchi wenyeji.