-
Spika wa Iran: Kambi za kijeshi za US ni tishio kwa nchi wenyeji wake
Mar 15, 2026 05:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Marekani imeitoa kafara kila nchi kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni wa Israel, na kwamba kambi za kijeshi za Marekani katika eneo la Asia Magharibi hazizipi ulinzi nchi wenyeji.
-
IRGC: Kama Netanyahu hajafa tutaendelea kumuwinda na kumuua
Mar 15, 2026 04:38Idara ya Mawasiliano ya Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu nchini Iran (IRGC) imetangaza kuwa kama Waziri Mkuu mtendajinai wa Israel atakuwa hai jeshi hilo linamuwinda na kumuangamiza.
-
Qalibaf: Dhamiri iliyoamka ya watu wa Iran dhidi ya ukandamizaji haitanyamazishwa na tishio lolote
Mar 14, 2026 03:55Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amesema katika ujumbe kuwa: Watu wakubwa wa Iran kwa mara nyingine wameonyesha kwa hatua zao thabiti mitaani kwamba dhamiri iliyo macho ya taifa hili lenye busara dhidi ya dhulma haitanyamazishwa na tishio lolote.
-
Jen. Mousavi: Iran imeivurumishia Israel makombora 30 ya balestiki
Mar 14, 2026 03:48Kamanda wa Kikosi cha Anga za Mbali cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC amesema asilimia kubwa ya makombora 30 ya balestiki yaliyovumishwa na Jamhuri ya Kiislamu usiku wa Lailatul Qadr yalipiga shabaha zilizokusudiwa kwa usahihi mkubwa.
-
Pezeshkian: Marekani na utawala wa Kizayuni zinafuatilia malengo maovu ya kuigawa Iran na nchi nyingine kubwa za Kiislamu
Mar 14, 2026 03:45Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amezitaka nchi za Kiislamu kuwa macho dhidi ya njama za maadui wa pamoja wa Umma wa Kiislamu.
-
Araghchi: Kujitokeza mamilioni Siku ya Quds ni ishara ya azma thabiti ya Wairani
Mar 14, 2026 03:35Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kwamba: “Taifa la Iran, kwa umoja na mshikamano, litaendelea kusimama pamoja na misingi na malengo yake, na halitarudi nyuma kamwe.”
-
Ujumbe wa Kiongozi Muadhamu Mpya wa Iran
Mar 13, 2026 12:44Ayatullah Sayyid Mojtaba Husseini Khamenei, Kiongozi mpya wa Mapinduzi ya Kiislamu ametoa ujumbe wake wa kwanza kulihutubia taifa la Iran.
-
Mamilioni ya Wairani washiriki maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds licha ya kudondoshewa mabomu na US, Israel
Mar 13, 2026 06:36Mamilioni ya wananchi wa Iran katika pembe zote za nchi wameshiriki katika maandamano makubwa ya kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Quds Ijumaa, huku tawala za kitwaghuti za Marekani na Israel zikiendelea kushambulia kwa mabomu miji mbali mbali ya Jamhuri ya Kiislamu.
-
Rais wa Iran asisitiza ulazima wa kusitishwa mara moja uvamizi wa Marekani na utawala wa Kizayuni
Mar 13, 2026 04:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Masoud Pezeshkian, ameishukuru serikali na wananchi wa India kwa kuonesha mshikamano na watu wa Iran, akisema kuwa Iran daima imekuwa ikiiheshimu India kama rafiki na mshirika muhimu wa kiuchumi.
-
IRGC yashambulia meli nyingine ya mafuta ya US Ghuba ya Uajemi
Mar 13, 2026 03:57Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran IRGC kimetangaza habari ya kushambulia meli nyingine ya mafuta Marekani katika Ghuba ya Uajemi.