-
Mtazamo wa wachambuzi wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi kusini mashariki mwa Iran
Apr 06, 2024 03:39Mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran, kwa mara nyingine tena umekumbwa na mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge linaloungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
Rais wa Iran: Walimwengu watajionea kuangamia kwa utawala wa Kizayuni
Apr 06, 2024 03:27Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu maalumu za kuwashukuru wananchi walio macho na wenye kujali thamani ya mambo wa Iran kwa ushiriki wao mkubwa katika matembezi ya Siku ya Quds Duniani na kusema: Walimwengu watajionea kuangamia kwa utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Kamanda Mkuu wa IRGC: Israel inakaribia kusambaratika
Apr 05, 2024 10:25Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) anasema utawala wa Kizayuni wa Israel utasambaratika hivi karibuni, akibainisha kuwa Marekani inaiunga mkono waziwazi Israel.
-
Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran: Utawala wa Kizayuni ni nembo ya jinai
Apr 05, 2024 10:25Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa Tehran ameashiria jinai za utawala wa Kizayuni wa Israel katika mauaji ya wanawake na watoto wa Kipalestina na kusema: "Utawala bandia wa Kizayuni unaoua watoto sasa umebadilika na kuwa nembo ya jinai katika mfumo wa kisheria wa kimataifa.
-
Washiriki wa matembezi ya Siku ya Quds Iran: Jibu kali na la kujutisha umeandaliwa utawala wa Kizayuni
Apr 05, 2024 10:24Washiriki wa matembezi ya Siku ya Quds Duniani yaliyofanyika mjini Tehran wamesisitiza katika azimio walilotoa mwishoni mwa matembezi hayo juu ya kuwaunga mkono watu wanaodhulumiwa wa Ghaza na wakalaani jinai ya utawala bandia wa Kizayuni ya kushambulia balozi mdogo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Syria.
-
Mtazamo wa wachambuzi wa mambo kuhusu mashambulio ya kigaidi kusini mashariki mwa Iran
Apr 05, 2024 10:19Mkoa wa Sistan na Baluchistan wa kusini mashariki mwa Iran, kwa mara nyingine tena umekumbwa na mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge linaloungwa mkono na utawala wa Kizayuni wa Israel na Marekani.
-
Wananchi wa Iran waandamana katika Siku ya Kimataifa ya Quds
Apr 05, 2024 04:22Maadhimisho ya Siku ya Kimataifa ya Quds yamefanyika leo katika miji na maeneo mbalimbali nchini Iran.
-
Raisi: Tehran yaweka katika ajenda yake ya kazi ushirikiano na nchi zote za Kiislamu
Apr 05, 2024 04:22Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema katika dhifa ya (futari) Iftar na mabalozi wa nchi za Kiislamu wanaoishi Tehran kwamba suala la kushirikiana na nchi zote za Kiislamu lipo katika ajenda ya utendaji ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Rais wa Iran: Sauti kuu ya kuihami Gaza ni sauti kuu ya mataifa yote katika Siku ya Quds
Apr 04, 2024 23:27Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameeleza kuwa sauti kuu ya kuchukizwa na kupinga ukandamizaji na kuwaunga mkono wananchi madhulumu na kuwahami Waislamu waliosimama imara wa Ukanda wa Gaza itakuwa sauti kuu ya mataifa yote na Umma wote wa Kiislamu katika Siku ya Kimataifa ya Quds leo Ijumaa.
-
SEPAH: Magaidi 15 wameshaangamizwa hadi hivi sasa kusini mashariki mwa Iran
Apr 04, 2024 08:08Kamanda wa Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (SEPAH) amesema kuwa, hadi hivi sasa magaidi 15 wameshaangamizwa katika operesheni za kuzima mashambulizi matatu ya kigaidi yaliyofanywa na magaidi hao kusini mashariki mwa Iran.