-
Kiongozi Mkuu: Mantiki ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kusimama imara kukabiliana na kambi ya Uistikbari
Mar 07, 2024 08:49Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran amesema, mantiki ya kidini, kiakili na ya kiutu ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni ya kusimama imara kukabiliana na kambi ya Uistikbari.
-
Wagonjwa wa ngozi ya kipepeo (EB), waathiriwa wa vikwazo vya Marekani
Mar 07, 2024 06:18Jumatano ya jana, Mahakama ya Hata ya Uhusiano wa Kimataifa ya Tehran iliamuru kukamatwa shehena ya mafuta ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi, na shehena ya meli hiyo sasa imekamatwa na vyombo husika vya Iran.
-
SEPAH: Kimbunga cha al Aqsa kimethibitisha kuwa kambi ya muqawama imeshikamana vilivyo
Mar 07, 2024 03:23Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema: Operesheni ya Kimbunga cha al Aqsa imethibitisha kwamba safu ya kambi ya muqawama imeshikamana barabara na ina uwezo mkubwa, ingawa bado haijatumia uwezo wake wote, na pia imethibitisha kwamba hakuna mtu anayeweza kupuuza nguvu za kambi hiyo.
-
Iran na Sierra Leone kuimarisha zaidi uhusiano wa pande mbili
Mar 06, 2024 23:02Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Sierra Leone wametilia mkazo wa kuimarishwa zaidi uhusiano wa kiuchumi na kisiasa baina ya nchi zao.
-
Iran yatwaa meli ya mafuta ya Marekani katika Ghuba ya Uajemi
Mar 06, 2024 08:14Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limefanikiwa kukamata meli ya kubebea mafuta ya Marekani katika maji ya Ghuba ya Uajemi.
-
Amir-Abdollahian: Utawala wa Kizayuni unataka kufuta historia na utambulisho wa taifa la Palestina
Mar 06, 2024 00:08Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Hatua hatari inayofuatiliwa na utawala wa Kizayuni wa Israel ni kufuta historia na utambulisho wa Palestina katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu.
-
Kiongozi Muadhamu: Kushiriki katika uchaguzi ilikuwa jihadi ya watu wa Iran
Mar 05, 2024 07:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ameshukuru mahudhurioa ya taifa la Iran katika vituo vya kupigia kura Machi Mosi na kusema: "Kushiriki taifa la Iran katika uchaguzi huo lilikuwa jukumu la kijamii, kiustaarabu na kijihadi."
-
Iran: OIC inakabiliwa na 'mtihani mgumu' kuhusu uhalifu wa Israel, himaya ya Marekani kwa utawala huo
Mar 05, 2024 04:11Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesisitiza umuhimu wa mkutano wa dharura wa Jumuiya ya Ushirikiano wa Kiislamu (OIC) unaotarajiwa kufanyika leo, akisema jumuiya hiyo yenye wanachama 57 "inakabiliwa na mtihani" juu ya vita vya mauaji ya kimbari vya Israel kwenye Ukanda wa Gaza.
-
Grossi: Hatuna ushahidi wa madai ya jaribio la Iran kutengeneza silaha za nyuklia
Mar 05, 2024 03:55Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki, (IAEA) Rafael Grossi, amesema kwamba hana ushahidi wowote au habari inayothibitisha kwamba "Iran inataka kutengeneza silaha za nyuklia."
-
Uchaguzi wa Iran ni ishara ya umuhimu wa masanduku ya kura na ushiriki wa wananchi
Mar 05, 2024 01:44Kuhesabiwa kura za uchaguzi wa Awamu ya 12 ya Majlisi ya Ushauri wa Kiisalmu (Bunge la Iran) na uchaguzi wa Awamu ya Sita ya Baraza la Wanazuoni Wataalamu wanaomchagua Kiongozi Muadhamu kumemalizika kufuatia kushiriki kwa wingi wananchi katika duru hii ya uchaguzi.