-
Safari ya ujumbe wa kiuchumi wa Afghanistan nchini Iran
Nov 05, 2023 06:20Ujumbe wa kiuchumi wa Afganistan umefanya safari nchini Iran kwa madhumuni ya kuimarisha ushirikiano wa kiuchumi na kibiashara wa pande mbili.
-
Spika wa Bunge la Iran: Oparesheni ya Kimbunga cha Al Aqsa imebadilisha mlingano wa kimataifa
Nov 04, 2023 11:04Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: Operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ilibadilisha m mpangilio mlingano wa mfumo wa kimataifa.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Wapalestina wana haki ya kupambana na utawala uvamizi wa Israel
Nov 04, 2023 10:55Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameitaka Uingereza kuchukua mtazamo wenye kuzingaita uhalisia wa mambo kuhusu matukio ya eneo la Asia Magharibi, akikumbusha kwamba mgogoro wa Palestina unatokana na utawala wa Israel kukalia kwa mabavu ardhi za Palestina.
-
Maadhimisho ya Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa yafanyika kote Iran
Nov 04, 2023 04:11Marasimu ya maandamano ya kuadhimisha Siku ya Taifa ya Kupambana na Ubeberu wa Kimataifa yamefanyika mapema leo hapa Tehran sambamba na miji mingine ya Iran kwa kuhudhuriwa na umati mkubwa wa wananchi wakiwemo wanachuo na viongozi wa serikali.
-
Jeshi la Irani: Hii leo Gaza inashuhudia mauaji ya Holocaust ya kweli
Nov 04, 2023 04:11Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetangaza katika taarifa yake kwa mnasaba wa kuwadia siku ya leo ya tarehe 4 Novemba ambayo inajulikana hapa nchini kama siku ya Kupambana na Uistikbari kwamba, hii leo Gaza inashuhudiwa mauaji ya kweli na halisi ya Holocaust na mhusika mkuu ya mauaji ya watu madhulumu wa ardhi hii ni Marekani mtenda jinai.
-
Balozi wa Honduras aitwa nyumbani kutoka Tel Aviv kufuatia jinai zinazofanywa na utawala wa Kizayuni huko Ghaza
Nov 04, 2023 03:53Kufuatia jinai za utawala wa Kizayuni huko Ghaza na kuendelea wimbi la maandamano ya nchi mbalimbali duniani ya kupinga jinai hizo, Honduras imemrudisha nyumbani balozi wake katika Palestina inayokaliwa kwa mabavu.
-
Kazem Sediqi: Mrengo wa mapambano ya Kiislamu umebadilisha dunia
Nov 03, 2023 10:12Akizungumza leo katika swala ya Ijumaa ya mjini Tehran, Hujjatul Islam wal Muslimeen Kazem Sediqi amesema kuwa leo mrengo wa mapambano ya Kiislamu ni mrengo wa kimataifa na kuongeza kwamba mrengo huo umabadilisha dunia.
-
"Vita vya Israel dhidi ya Gaza vinafanana na vita vya Saddam dhidi ya Iran"
Nov 03, 2023 08:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mashambulizi yasiyo na kikomo ya utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza yanashabihiana na vita vya kivamizi na kichokozi vya dikteta wa zamani wa Iraq, Saddam Hussein dhidi ya Iran katika miaka ya 1980.
-
Kan'ani: Marekani imezitoa muhanga haki za binadamu kwa maslahi ya Israel
Nov 03, 2023 04:36Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema: Marekani na nchi chache zimeuteka Umoja wa Mataifa na kutoa muhanga amani na usalama wa kimataifa kwa ajili ya maslahi ya utawala wa kibaguzi, ghasibu na unaotenda jinai wa Israel.
-
Meja Jenerali Salami: Sasa hivi dunia imeungana pamoja zaidi dhidi ya Marekani kupita wakati wowote ule
Nov 02, 2023 10:15Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, sasa hivi miale ya Jihadi imewashwa na akaongeza kuwa: ulimwengu umeungana pamoja zaidi dhidi ya Marekani leo hii kupita wakati mwingine wowote ule; na dhati halisii ya umwagaji damu ya sera za nchi hiyo inadhihirika waziwazi ulimwenguni.