-
Meja Jenerali Salami: Sasa hivi dunia imeungana pamoja zaidi dhidi ya Marekani kupita wakati wowote ule
Nov 02, 2023 10:15Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema, sasa hivi miale ya Jihadi imewashwa na akaongeza kuwa: ulimwengu umeungana pamoja zaidi dhidi ya Marekani leo hii kupita wakati mwingine wowote ule; na dhati halisii ya umwagaji damu ya sera za nchi hiyo inadhihirika waziwazi ulimwenguni.
-
Mtazamo wa Kiongozi Muadhamu: "Mauti kwa Marekani" si nara tu bali ni msimamo imara
Nov 02, 2023 04:43Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu, katika mkutano na maelfu ya wanafunzi waliotoka katika pembe zote za Iran, ameyataja matukio ya tarehe 13 Aban 1358 (November 4, 1979) kuwa pigo la Taifa la Iran kwa Marekani.
-
Abdollahian: Jitihada za kusitisha vita Gaza kwa njia za kisiasa zinaendelea
Nov 01, 2023 23:29Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Qatar zinaendeleza juhudi za kisiasa za kutaka kusimamishwa vita kwa muda katika Ukanda wa Gaza haraka iwezekanavyo, huku utawala wa Kizayuni wa Israel ukiendelea kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika eneo hilo lililozingirwa.
-
Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Ghaza imeamsha dhamiri ya mwanadamu
Nov 01, 2023 09:30Katika kufafanua kuhusu mafanikio ya subira na kusimama kidete Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Watu wa Ghaza wameamsha dhamiri ya mwanadamu kwa subira yao.
-
Raisi: Matukio ya Ghaza ni dhihirisho la vitendo visivyo vya kibinadamu
Nov 01, 2023 08:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameyataja matukio ya Ghaza kuwa ni maonyesho ya kusikitisha ya vitendo vya kikatili na dhidi ya binadamu vinavyotekelezwa na utawala wa Kizayuni.
-
Abdollahian na Haniya wakutana Doha na kujadili matukio ya Ukanda wa Gaza
Nov 01, 2023 01:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS, ambapo wamebadilishana mawazo kuhusu matukio yanayoendelea kushuhudiwa katika Ukanda wa Gaza.
-
Jenerali wa Iran: Makamanda wa US wapo Tel Aviv kuongoza mauaji ya kimbari Gaza
Oct 31, 2023 23:32Kamanda wa Kamandi Kuu ya Khatam al-Anbiya ya Jeshi la Iran amesema makamanda wa Kamandi Kuu ya Jeshi la Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM), na vile vile makamanda wa Kikosi cha Majini cha nchi hiyo wapo Tel Aviv kuwasaidia maafisa wa utawala haramu wa Israel kufanya mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Amir Abdollahian: Kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni kumeongeza wigo wa migogoro
Oct 31, 2023 10:00Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesema: Kutokana na kuendelea jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya wananchi wasio na ulinzi wa Palestina na mzingiro kamili wa Ukanda wa Gaza, wigo wa migogoro katika eneo hili umeongezeka.
-
Waziri wa Afya wa Iran akosoa kimya cha WHO kwa jinai za Israel katika Ukanda wa Gaza
Oct 31, 2023 06:42Waziri wa Afya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa kimya cha Shirika la Afya Duniani (WHO) kwa jinai zinazofanywa na utawala haramu wa Israel dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza.
-
Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Iwapo vita vitapanuka, Israel haitabakia chochote
Oct 31, 2023 02:49Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema, operesheni ya Kimbunga cha Al-Aqsa ni dhihirisho la umakini na muono wa mbali wa Muqawama na akasisitiza kuwa: "iwapo vita vitapanuka, Israel haitabakia chochote".